kafine (feat. mbaru) - carlpix lyrics
cheki cheki cheki
nikafine nakajaribu na wine
najaza glasi makali bila lime
nakaroga bila dumba skiza line
ju vile kanawhine ndo mi naskia fine
figa ni nine
eh! minus one ata bado wabonge we ni wa mine
tena walai
eh tena walai
tena walai we ni wa mine
tena walai
nimeingia tu kwa line
para amedunga ni cha walai
why lie na we ni m*fine
aki walai siwezi ku*lie siwezi ku*deny ju lazma u*rely
bila bluetick unareply
na kama zimeshika selector rewind
kajaba kamerunda ni hadi runda
na kama kamewesa ni hadi dunda
tukiruka na mamdiva wenye mathutha
tena walai wenye mathutha tukiruka na mamdiva wenye mathutha
ni marlow na mbaru
na zimeraru
aki walai na si kinyaru
na venye nakatracy jina ni tracey
aki walai mtoto ni m*s*xy
nikafine nakajaribu na wine
najaza glasi makali bila lime
nakaroga bila dumba skiza line
ju vile kanawhine ndo mi naskia fine
figa ni nine
eh! minus one ata bado wabonge we ni wa mine
tena walai
eh tena walai
tena walai we ni wa mine
taja waiter mshow alete beer
coz we started from the bottom now we′re here
ako far mshow akam near
na ka ni mistari sare fear
na limbe ikipaa dj pandisha gear
mshow achore saba joh nimwite dear
amepiga mini leo miti ndo nia
mapaja fiti napenda akikalia
genje ni genje na mbaru ni kubwa
usikuje kijitisha kuja ufanye mambo
hii ndo rende ya chembeteza ukule pamba na haturopokangi
ju mambo ni kabariang’
nikafine nakajaribu na wine
najaza glasi makali bila lime
nakaroga bila dumba skiza line
ju vile kanawhine ndo mi naskia fine
figa ni nine
eh! minus one ata bado wabonge we ni wa mine
tena walai
eh tena walai
tena walai we ni wa mine
tena walai
Random Song Lyrics :
- nossos sonhos - moth oliver lyrics
- не по зубам (too tough for you) - vmsx lyrics
- differences - lyrics born lyrics
- wdyct - saoirse dream lyrics
- no rules freestyle - blaklez & pdot o lyrics
- 내게 기대 (lean on me) - 이해인 (lee hae in) lyrics
- i dare you - northern lite lyrics
- neballētājs - kaspars pudāns lyrics
- oh lunes nanaman - zild lyrics
- 渡良瀬橋 (watarasebashi) - 松浦亜弥 (aya matsuura) lyrics