energy - calamine lyrics
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
some guys hungedhani w*ngefika bei
ju walishinda kwa korti wamelipa bail
wakisepa karao ndo wasifike jail
joh ju rende ni wrong utakua umefail
by the time unafika utakua umefaint
utashindwa ni ndoto ama fairy tail
but u never know
just a god flow,for these haters wako na mafolks joh
mahater maphsyco wanatry their best… mara
6,7,8,9 ten
for the longest time with ä negative mindset
they never been an item,uko soko na hujaikua highly demanded
big drip like a pipette,akili plain kama carpet, playing like a cartel
ka unangori we nipate,nina beef inangoja we leta stock ya mikate
ka hunipendi we jikate,nina marafiki kadha wako na madeni ka zenu
mi si don mi si kartel,but form ikidai mi nafly kama latex
nimefunga beat na macurtain,apa tuko certain
vice tunacontain national anthem,bend them
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
fika na geng, tunafika geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
shawty bado we mono mbona konokono apite kwa tundu ya mkono (ah)
keti ukachapiwe advice *ka we ni hater songa ju utaburn price…
reason ya kupigwa dice ni ju huwezi choma na ubaki na nice eyes
and to your surprise bei ya rice inahyke twice,ukipanda unasideline
unafika the price na bado unabaki na pride thrice kama three stripes
ui maisha ni kuishi vile unataka si pipeline
ujenzi haiwezi ka bado unafanya kazi na mbogi ya washenzi
wezi, wanajiitanga walezi crazy ju atuna syc ya
ubaby
so testing,mass testing testing,tulipima adi mhenga alideadi
resting,resting cardiac arresting tunawateka wakimedi
trending,trending,my g’s are trending tunatesa kiwikendi
mali safi iende chainchain,mali safi izunguke ka moshi fegi
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
fika na geng, tunafika na geng
utadeadi na negative energy
kuja na weng, nipate na benz
ju ka ni ganji tuna legacy
Random Song Lyrics :
- show you off - commentary - dan + shay lyrics
- the train - macklemore & ryan lewis lyrics
- etapas - sfdk lyrics
- work it out - d-power diesle lyrics
- si tú no ests - cumbre norteña lyrics
- righteous - slrxflr lyrics
- ten feet tall (live) - wrabel lyrics
- anna och mej - lalla hansson lyrics
- zukunft - ekreb lyrics
- menni 3adad - nessyou lyrics