ananichukia - buki lyrics
haaaaaaa
mmhhhh
haaaaaaa
eyo trone!
mmmmmmhhh
nimemfata nikamuomba radhi tusameheane
amesema hataki amegoma
tena kabisa nikatoa machozi turudiane
amesema kashapata bwana
sipo huru penzi mbio ndefu moyo umechoka
kunguru
sipati minofu mabawa nimekatwa
kufuru nitasema nini na hanitaki tena
ushuru nimekatwa penzini jamaa
na amesema
mina yeye kitovu na sikio
amesema
nijifunze maumivu kwa kilio
jipya sina
misio wa mawio wala machweo
zile ahadi zimefutika zimebaki mapambio
amesema
amesema ananichukia
aaaaaa
hataki kunirudia
amesema
amesema ananichukia
aaaaaa
hataki kunirudia
nishavunja sana n*z* njia panda nikazani nitapendwa
nishalia sana moyo vidonda mwilini nikakonda
kama huruma jama nishatia sana ila ataki ata kuniona
nilipo kwama
nimezama sijui kama nitatoka
majina matamu tuloitana
leo amеhuk*mu nisimwite tena
maskini tabasamu sipati jama
yeyе ndo ana udunu
na yangu bandama
na amesema
mina yeye kitovu na sikio
amesema
nijifunze maumivu kwa kilio
jipya sina
misio wa mawio wala machweo
zile ahadi zimefutika zimebaki mapambio
amesema
amesema ananichukia
aaaaaa
hataki kunirudia
amesema
amesema ananichukia
aaaaaa
hataki kunirudia
amesema ananichukia
hataki kunirudia
amesema ananichukia
hataki kunirudia
Random Song Lyrics :
- poveri (folk version) - nayt lyrics
- word on the street - samuel jameza lyrics
- pensa bem - blind & baco lyrics
- crush - smoov jonez lyrics
- let your love burn out - howlin' circus lyrics
- little fighters - movning lyrics
- tsunami - opał lyrics
- i can't let go - brian mendoza lyrics
- ayfkm (freestyle) - ecko lyrics
- secret - empress libra lyrics