brokuod- maisha - brokuod lyrics
taswira naivuta kinoma
napambana nipate kile sina
taswira naivuta kinoma
napambana nipate kile sina
nimejikaza sij*pata
pande zote duniani nimetamba
nilisoma nikatamarc
mpaka leo kazi sij*pata
bado kidogo tu, nitatoboa
bado kidogo tu, nitatoboa
kama magharibi, mashariki me nasonga
kusini kaskazini ninasonga ×2
napambana na maisha wee
na maisha wee
napambana na maisha wee
na maisha we
napambana na maisha wee
na maisha wee
ah ahh
na maisha we
ah ahh
na maisha we
na kagari nimebuy
na kanyumba nimejenga
juu amani nilidai
and am not about to die
with your pointless agendas
na hamjanijenga
bado kidogo tu, nitatoboa
bado kidogo tu, nitatoboa
kama magharibi, mashariki me nasonga
kusini kaskazini ninasonga ×2
napambana na maisha wee
na maisha wee
napambana na maisha wee
na maisha we
napambana na maisha wee
na maisha wee
ah ahh
na maisha we
ah ahh
na maisha we
na maisha we
na maisha we
na maisha we
na maisha we
bado napambana ( mbana, mbana, na maisha we)
napambana na maisha we
napambana na maisha we
Random Song Lyrics :
- no chorus 2 ft. ant200 - zjuice ft. ant200 lyrics
- views - mild minds lyrics
- believe - kaiser franz josef lyrics
- pick yourself up - ings lyrics
- tokyo drift freestyle - kazuo lyrics
- stress - moaz lyrics
- babygirl freestyle - joi rie-anne lyrics
- котёнок (kitty) - oqjav lyrics
- friend - daisy the great & sipper lyrics
- r.i.p. scru face - grizzy hendrix lyrics