lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ukishindwa kuwinda subiri mzoga (uksm) - breeder lw lyrics

Loading...

[intro]
hahaa
lw
ukishindwa kuwinda, subiri mzoga

[verse 1]
kuna ma-lyricist
na kuna ma-mc hukuwa na flow
amazing thing is, i am both
na kunipea props inawaboo
but if i made it from amatuer to pro, you better know
it’s inevitable basi that hii rap italeta dooh
hata jua iwake kali aje, mi na-bring storm
hii ni war na sina time ya mandeng’a na plant bombs
cheki tactic na style zangu zote na-reinforce
there’s a calm before the storm
manyunyu hufuatwa na hailstorm
so i had to sit back, strategize and come back with an appet-te
hungry and starving naweza dishi hadi sahani, right?
i was born for this
placenta yangu ilikuwa na ink
non-stop vile na-spit utadhani niko kwa sink
i be ready with them bars, long as you paying a fee
only reason why your opinion don’t matter to me
is ’cause haiwezi nifufua nikidedi saa hii
all this militancy, ain’t n0body messing with me
huelewi ntafafanua, ka hujui utajua
i got mad juice na flavor ni ka nime-blend maua
mama said usi-tense
if it’s yours, you gon’ get it
kaa si leo basi kesho, watiaji weka pending
i focus so hard hadi, naumwa na macho
all i pray is success
rolls royce, kwanza phantom
bidii, double up, hakuna reward bila jasho
easy come, easy go, my n-gga, make no -ssumption
fake rappers full of envy wanna see me fall
but my demise hio ni ndoto, that’s a long shot
nimetulia nikizoza with my broskis
sili maneno mdomoni kama jovie

ukishindwa kuwinda,subiri mzoga x2
hio ndio slogana buda,hio ndio slogan
ukishindwa kuwinda,subiri mzoga

ukishindwa kuwinda,subiri mzoga x2
hio ndio slogana buda,hio ndio slogan
ukishindwa kuwinda,subiri mzoga

verse 2

one man army but na move ka stampede
amateur,keti chini acha ma pro wa proceed
i know you heard about me from the gossip in the streets
i’m finessing on this beat,cooking bila recipe
ati breeder anatatiza ka tornado za pacific
it’s us who been leading from the start to the finish
na wale huniaminia ndio the fuel to my spirit
same goals as my bros as we chase after the shilling
success ndio kivuli ya bidii,ziufuatana
huwezi pewa merit juu ya gimmicks za kifala
maswali mtaani wanauliza who’s next
breeder huw-nga answer kabla wamalize debate
my sk!ll set separates,me from the rest
unique,i’m the best never weak never rest
laziness na detest,i’m outdoing vets
2019 ni ma metre kwa jet
i get the bag fast ka mtoi anaachwa na school bus
everybody got choices but the right choice ni ku choose us
ugh,nacheza chini but siwezi lower standard
kuwa mjanaja buda ama utumiwe na wajanja

haha,yeah
i still laugh dawg..
cause we came from far dawg..
hakuna helping hand dawg..
you gotta do it by your danm self dawg..

mawaidha ya budangu made me wiser growing up
i look at life and wonder is it a blessing or a curse
you need sk!ll to survive and turn a minus to a plus
and bros backstabbing loyalty ni ka facade

ugh

hook

ukishindwa kuwinda,subiri mzoga x2
hio ndio slogan buda,hio ndio slogan
ukishindwa kuwinda,subiri mzoga

ukishindwa kuwinda,subiri mzoga x2
hio ndio slogan buda,hio ndio slogan
ukishindwa kuwinda,subiri mzoga

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...