lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

huko huko - bravo the son lyrics

Loading...

intro:
braavooo
zungu

verse 01: bravo
mama lemme hold you tonight en (uyeyeh)
vile ulivyo s*xy ni frightening (uuh mamaa)
nimetoka home we ni maiden (uyeyeh)
njoo nifanye wako kiben ten (uyeh)

bridge (2x)
una una, nimaliza
mapenzi ya kweli sitaigiza
kuja, nikupeleke ibiza
kama kuku uwanjani nakukimbiza

chorus:
huko hukoooo, (huko huko, baby huko huko)
huko hukoooo (nikufate)
huko hukoooo oooh
huko hukoooo, huko, huko, ulipo

verse 02: j93
ukiwa tayari baby just call to my phone
tukaruke debe kwa mwanangu dante kinondoni
tule nyama zege na mitungi mpaka in the morning
nikubebe bebe kisha nikurambishe cone
mana mimi na*data
kiuno unavyo*kikata
nikalie pa*kata
makamera na*data

huko hukoooo
baby ulipo ulipoooo
huko hukoooo
utamu ulipo ulipoooo

mi nataka niingie huko
nitengee rambo mf*ko
bao kata mdundiko
beach flani mafuriko

chorus:

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...