lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

woo - boutross lyrics

Loading...

[intro]
kama ule metro ni boomin’
yeah woo
yeah yeah (ay)
woo woo woo (ay)
woo woo woo (ay)
woo woo woo (cheki)
ay yo

[verse 1]
sipendi hizo story za 5*star, food hu*serviwa mara saba
hio jalee umedunga ni mbaya, kwani hio mali ya ulaya? (ay)
huyu rapper anasema experience studio ameingia mara saba (ay)
kijana wa pampers hadi kahawa nakunyw*nga starbucks (ay)
nlijifanya nakatia huyo mwarabu k*mbe nimekujia shawarma
alikuja kwa game ya real amedunga ati jezi ya barca (ay)
kuna time nili*date dem alikuwa an*z*toka kwa bablas
time nilikuw*nga nachizi ngeus alikuwa an*z*rusha vibaya (ay)
wanasema ati mi chipukeezy bila hio story ya kibanja
hamna kujifanya kama hio picha ina nyoka vibaya (ay)
alisema anakindanga kilo na k*mbe huyo boy wanajuana
ata hio makeup umepaka najua bae unakaanga dimanga
[chorus]
woo woo woo (ay)
woo woo woo (ay)
woo woo woo (pole sana)
woo woo woo (dimanga)
woo woo woo
woo woo woo (ay)
woo woo woo (pole sana)
woo woo woo
yeah yeah

[verse 2]
nimepiga hio mwaka na bado imerudi na bado mi ndio naitwa mbuzi
alidai nipige hio paka kwa parking ka’ ye’ ni lilian muli
unadai nimеkauka kwa shadow na we ndo bado hulilianga kivuli
alishaanza kubonga vibaya nakupiga hio mbata, ah, stupid
kudate dem mlami ni hard huyu ngеus alikaa miniskuti
hadai nikule mayai napigwa the juice na hoho asubuhi
ju, ana fi*fitness channel alianza juzi (ay)
ana thi*thickness daktari alimjenga vizuri

[chorus]
woo woo woo (ay)
woo woo woo (ay)
woo woo woo (pole sana)
woo woo woo (dimanga)
woo woo woo
woo woo woo (ay)
woo woo woo (pole sana)
woo woo woo
yeah yeah
yeah yeah, woo woo woo

[outro]
yeah yeah yeah yeah
ukishindwa kuskia kenye nasema ni ati namaanisha ngeus amejazwa mba*ya

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...