rieng - boutross lyrics
yeaah aye
kama ni dame tingisha kama ni ngwai pitisha kama ni tei itisha we unadhani unaweza tutisha
kama ni dame tingisha, kama ni ngwai pitisha , ka ni maji itisha we unadhani unaeza tutisha
buda jo cheza na rieng , ( buda jo cheza na rieng) , buda jo cheza na rieng (buda hujacheza na rieng)
we unadhani unaweza tutisha(we unadhani unaweza tutisha) buda me ndio naleta misa(buda me ndio naleta misa)
buda jo cheza na rieng (buda jo cheza na rieng) buda jo cheza na rieng(buda jo cheza na rieng)
aye
we unadhani unaeza tutisha uko sure utachachisha maskio ndio umelalisha dame yako akilambishwa kama ndio wera nitado hapa maze tuko stu(eh) hatеrs coming out the blues(eh) mazе do vile utado(eh) si unajua umemblain(eh) nilishindwa k*maintain(eh) kula viboko na cane (eh) slay queen gettin slain mimi boy niko fresh shambhala on the neck, nikido nime vex(eh) on your boo mi naflex(eh) buda nacheza na rieng buda nacheza na rende (eh) buda nacheza na cane(eh) buda nacheza na pembe buda nacheza na tembe kay green ako lembe (sshh yaah)
yeaah aye
kama ni dame tingisha kama ni ngwai pitisha kama ni tei itisha we unadhani unaweza tutisha
kama ni dame tingisha, kama ni ngwai pitisha , ka ni maji itisha we unadhani unaeza tutisha
buda jo cheza na rieng , ( buda jo cheza na rieng) , buda jo cheza na rieng (buda hujacheza na rieng)
we unadhani unaweza tutisha(we unadhani unaweza tutisha) buda me ndio naleta misa(buda me ndio naleta misa)
buda jo cheza na rieng (buda jo cheza na rieng) buda jo cheza na rieng(buda jo cheza na rieng)
yeah
buda hujacheki hiyo clarity maze nacheza red kama ni shasha ni a one maze nacheza na z
nina magoro masilver maze unacheza na led, buda jua chai ni mingi of course tunameza na bread, of course atameza the head of course atameza the isht that i fed
kama ni tamu na bang chapa ilale nachapa ibend simu n*z*ma weekend maze nazama kwa ziwa deepend maze nasaka sideng k*ma ikibonga nataka itweng
mi huita mlango dirisha ad ni kama militia dawa ya moto ni moto buda iwashe alafu pitisha kama haishiki shikisha kama haishiki ni shisha kabla nidishi ivisha msupa nadishi ni swisher (aye)
yeaah aye
kama ni dame tingisha kama ni ngwai pitisha kama ni tei itisha we unadhani unaweza tutisha
kama ni dame tingisha, kama ni ngwai pitisha , ka ni maji itisha we unadhani unaeza tutisha
buda jo cheza na rieng , ( buda jo cheza na rieng) , buda jo cheza na rieng (buda hujacheza na rieng)
we unadhani unaweza tutisha(we unadhani unaweza tutisha) buda me ndio naleta misa(buda me ndio naleta misa)
buda jo cheza na rieng (buda jo cheza na rieng) buda jo cheza na rieng(buda jo cheza na rieng)
Random Song Lyrics :
- when we fly away home - ernie haase & signature sound lyrics
- go easy one me - rod wave lyrics
- mymomcalledmeamistakeonchristmas - notaus lyrics
- не знакомы (we are not acquainted) - ternovoy lyrics
- she wants it all - samad savage lyrics
- rifle - warzpilot lyrics
- descenso por la madriguera - las sexpeares lyrics
- bolji svijet - činčila lyrics
- happier - jericho prince lyrics
- ещё (more) - pitikin lyrics