lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

pendeka - boutross lyrics

Loading...

[chorus]
ukipendwa pendeka (mmh)
penzi lako utanipa, (ayayaya)
me siwezi tosheka (ayayaya)
na siwezi kuruka (ayayaya)
ukipendwa pendeka (mmh)
penzi lako utanipa, (ayayaya)
me siwezi tosheka (mmh), na siwezi kuruka (ayayay)

[verse:1]
nilicheki ukidondosa, nikakutokea ukanitoroka
sahii baby unanisorora, sitakuchorea hata ukikoroga
coz i need you in my bed tonight, we gonna s*x alright
leave you paralyzed, i know you kinda obsessed with me
word on the street is that you s*xing me
saa unanivuta, wanichemsha unavyojigusa
nikisogea shika ukuta, nionyeshe chenye mama alikupa
you know im the man to be, the one to bring you your fantasy
girl you bettеr stop testing me, wajua nakupenda why you ignoring this
ukipеndwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)
me siwezi tosheka (ayayaya), na siwezi kuruka (ayayaya)
ukipendwa pendeka (mmh) penzi lako utanipa, (ayayaya)
me siwezi tosheka(mmh), na siwezi kuruka (ayaya)
naomba unisikize, i know this cant be easy
but before uniulize, ill stack up and tell you whats going on
siseme hunipendi, but i cant say im convinced
sisemi me huniwezi, just don’t wanna risk my feelings
nimeshaumia tayari na sitaki marudio
id rather be honest, than keep it on the low sio
lakini endelea hivyo hivyo wanasema pole pole ndio mwendo
so maybe with a little bit of patience you can check off all the boxes kwenye check list
[chorus]
ukipendwa pendeka (mmh)
penzi lako utanipa, (ayayaya)
me siwezi tosheka (ayayaya)
na siwezi kuruka (ayayaya)
ukipendwa pendeka (mmh)
penzi lako utanipa, (ayayaya)
me siwezi tosheka(mmh)
na siwezi kuruka (ayaya)
ukipendwa pendeka (mmh)
penzi lako utanipa, (ayayaya)
me siwezi tosheka (ayayaya)
na siwezi kuruka (ayayaya)
ukipendwa pendeka (mmh)
penzi lako utanipa, (ayayaya)
me siwezi tosheka(mmh)
na siwezi kuruka (ayaya)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...