mteja - boutross lyrics
[intro]
oh mteja nilimchapia akupee yaah
niko nintendo kwa room ( yaah!)
biz inapigwa kwa zoom
mteja nlimchapia don’t worry mali inaletwa na mchizi na suit ( prrrr!!)
wao hupata bag kwa fatuma (fatuma)
na fatuma hu try kuku chuna (yeah!)
nlichapia huyo teja dont worry mali ni safi inalindwa na sugu
[chorus: boutross]
niko nintendo kwa room (uhh!)
biz inapigwa kwa zoom (prr prr!)
mteja nlimchapia don’t worry mali inaletwa na mchizi na suit (prrr!)
wao hupata bag kwa fatuma ( fatuma!)
na fatuma hu try kuku chuna (aii)
nlichapia huyo teja dont worry mali ni safi inalindwa na sugu (na sugu)
niko nintendo kwa room (kwa room)
biz inapigwa kwa zoom (ayy)
mteja nlimchapia don’t worry mali inaletwa na mchizi na suit (na suit)
wao hupata bag kwa fatuma na fatuma hu try kuku chuna (ye hukutoka)
nlichapia huyo teja dont worry mali ni safi inalindwa na sugu
[verse 1 boutross]
mali huingia [?] juu bouti anajuana na cook
gram lazima ipungunke juu sahii kupata mali ni ngumu (ni ngumu)
mali ya bouti ni true plus najua njenga unamshuku
ye hukula lunch na [?] shenzi sometimes huenda na crew
thats why niliskia unanuna i dont know if it’s false or true
but rada kwa keja ni true come mali mi huseti ni cute
au ukidai ki bag ongeza kioo italetwa na nduthi
nilikuwa header maroon saii najiseti nyarusto
[chorus: boutross]
niko nintendo kwa room (uhh!)
biz inapigwa kwa zoom (zoom!)
mteja nlimchapia don’t worry mali inaletwa na mchizi na suit (yeah yeah!)
wao hupata bag kwa fatuma ( fatuma!)
na fatuma hu try kuku chuna (eii)
nlichapia huyo tеja dont worry mali ni safi inalindwa na sugu (na sugu)
[verse 2: jovie jovv]
nikona mali kwa room (kwa room)
sheikh alinipigia kwa zoom (kwa zoom)
anadai ma fein wako njaa niingie kwa ndеge niishie khartoum (phew!)
huyo ngeus anapenda ku bull ako kejani anacheza cartoon (huh)
anadai nimpige hio maji dame amerogwa na d*ck ya ma goon (ayayai)
kaa ni ku osa ni soon kaa ni kutokwa ni noon
mbleina alijifanya ki fool alizubaa kaa amegongwa ki rungu
game naichukua cha nguvu ( cha nguvu)
bazenga alidedi na sumu (na sumu)
shrap life inadumu kaa unashuku cheki ma stats kwa youtube
[chorus: boutross]
niko nintendo kwa room (uhh!)
biz inapigwa kwa zoom (zoom!)
mteja nlimchapia don’t worry mali inaletwa na mchizi na suit (yeah yeah!)
wao hupata bag kwa fatuma ( fatuma!)
na fatuma hu try kuku chuna (eii)
nlichapia huyo teja dont worry mali ni safi inalindwa na sugu (na sugu)
[verse 3: big friz]
stash ilifichwa kwa book saii mi bazenga ma doh ziko kaa ya farouk
biz ya ma hedie ilidie sahii ni ma sweetie simu nikona tatu
yola alitoka kwa hacks msee wa nduthi alidai kunirushanga stack
promo nafanya ig mali ukitaka dm’s ebu simu ni hii
mi ni bad man nili plug tangu class one nikienda daro nili burn one
shawteys wote wali dai mans mi hu plug kwa only fans
9*2*5 ni drops on the daily mi huhepa opps kaa si 8 g’s sitokangi mots
fair amounts niki burn hizi noti joh
[chorus:boutross]
oh mteja nilimchapia akupee yaah
niko nintendo kwa room ( yaah!)
biz inapigwa kwa zoom
mteja nlimchapia don’t worry mali inaletwa na mchizi na suit ( prrrr!!)
wao hupata bag kwa fatuma (fatuma)
na fatuma hu try kuku chuna (yeah!)
nlichapia huyo teja dont worry mali ni safi inalindwa na sugu
niko nintendo kwa room (uhh!)
biz inapigwa kwa zoom (zoom!)
mteja nlimchapia don’t worry mali inaletwa na mchizi na suit (yeah yeah!)
wao hupata bag kwa fatuma ( fatuma!)
na fatuma hu try kuku chuna (eii)
nlichapia huyo teja dont worry mali ni safi inalindwa na sugu (na sugu)
Random Song Lyrics :
- back bone - doodie lo lyrics
- galileo girl - nona reeves lyrics
- purple haze - yung schnooty lyrics
- denim & diamonds - nikki lane lyrics
- underground - kxng crooked & joell ortiz lyrics
- mannequin - pervis lyrics
- ters kelepçe - grogi lyrics
- amplifier - slashpattern lyrics
- secret place - black fate lyrics
- déclin d'amour - charles koechlin lyrics