lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

fahak it - boutross lyrics

Loading...

[intro]
kama ule metro ni boomin’
yea ayy woo aha
sheesh, yea, aha, woo, yea, ayy
yea

[chorus]
niliamka early in the morning
niko sandwiched na ka bad b*tch and her bad b*tch
ju ya mattress on the attic like what’s happenin’
all i remember usiku ilikuanga ni ratish juu ya ratish
then a ratish tena ratish tena ratish, ayy
niliamka early in the morning
niko sandwiched na ka bad b*tch and her bad b*tch
ju ya mattress on the attic like what’s happenin’
all i remember ni usiku ilikuanga ni ratish juu ya ratish
then a ratish tena ratish on a ratish
[refrain]
aah woo
ahh ooh sh*t
usikam na hizo story za going
vile bash imeshika nkoroi
kama ule metro ni boomin’
yea, yea, yea yea!
bado yea bado tеna endelea
yеa, yea

[verse]
uwongo lazima nikichoma like baby hiyo kuku umepika ni proper
someone is rollin’ awkward vile hiyo meno nagrind ka sawdust
ngeus anadai nimekonda sawa we’ umeunga kama conan
rubber lazima nikidunga unathani mbona earring huvaliwa na stopper
usikam na hizo story za going vile bash imeshika nkoroi
aah f*ck it, mwaga hiyo bottle ya moët
msee anakula kinyarus, someone else phone is stolen
ahh fahak it, tutajua hiyo story in the morning
unaweza thani hiyo kikombe imejazwa vile msela anabonga anachocha
alisema amevuka mpaka, k*mbe walibakingi dormant
mi naingia form zimeshika nakatia mthamas wa boy hujifanya
nampiga kiswahili lotus, after namdinya kwa sofa
these days na smile ka joker, kwa city nageuka gotham
aah fahak it, azi nichafue hadi molar
tisini iliendanga kwa mbota, na bado hiyo kitu nilitokwa
ahh fahak it, version mpya imetoka
these days na smile ka joker, kwa city nageuka gotham
aah fahak it, azi nichafue hadi molar
tisini iliendanga kwa mbota, na bado hiyo kitu nilitokwa
ahh fahak it, version mpya imetoka

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...