lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

chorea - boutross lyrics

Loading...

nimekam na maboy wamethera nimekam na maplug wanajua the wera
na mangeus wanatafuta wera wamejua masponyo wako in the area
cheki anavyoekelea itabidi manzi ameekelewa, shrap imeendelea buda ni injili utapokea

cheki anavyoekelea itabidi manzi ameekelewa shrap imeendelea buda ni injili utapokea

ushaingia bash na gang kwa buu na maboy uso zao zinatell hawadai udo ka ameshika ka amejipa mlete karibu tuwashe kindukulu (aye)
she want a man with a beamer, she wants a pent house suite for in that punina
pour henny on her behind mwaga keg kwa mangeus wote wanajiringa, kwa bash sidai ig baba ngwai stori za mangeus au biz baba bonga mob wekwa chini baba kama judge walitii pia we utatii baba

cheki anavyoekelea itabidi manzi ameekelewa shrap imeendelea buda ni injili utapokea
cheki anavyoekelea itabidi manzi ameekelewa shrap imeendelea buda ni injili utapokea
nimekam na maboy wamethera nimekam na maplug wanajua the wera
na mangeus wanatafuta wera wamejua masponyo wako in the area

(yeah, aye)irony walidhani yote ni ndoto walidhani hao mabull dog na hao ndio koko hadi uganda sai tunashiba mi mskinny na vile mi hudinyanga hawa watoi wanono
nilianza na jam na vybz kartel so usiogope kunichallenge dance madam shika miguu alafu dance madam (aye) shika miguu alafu dance madam
after me i swear madam hao mambleina unachillingi nao utachorea hii mboko ni something rare inafanyanga kazi ata nikishachorea (yeah)
cheza chini baba uko mbele ya ob na masling baba cheza chini baba uko mbele ya punk na slay queen baba

nimekam na maboy wamethera nimekam na maplug wanajua the wera
na mangeus wanatafuta wera wamejua masponyo wako in the area
cheki anavyoekelea itabidi manzi ameekelewa shrap imeendelea buda ni injili utapokea
cheki anavyoekelea itabidi manzi ameekelewa shrap imeendelea buda ni injili utapokea
nimekam na maboy wamethera nimekam na maplug wanajua the wera
na mangeus wanatafuta wera wamejua masponyo wako in the area
cheki anavyoekelea itabidi manzi ameekelewa shrap imeendelea buda ni injili utapokea
cheki anavyoekelea itabidi manzi ameekelewa shrap imeendelea buda ni injili utapokea

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...