
amenipitia - bosco nshuti lyrics
Loading...
lyrics
chorus/
na mimi niko katika wale ambao amewapitia nikiwa na huzuni akanirehemu kwa upendo akaniokoa nakuniponya amelipa deni zangu zote
verse1/
upendo usiyo fananishwa rehema ambazo haziishi hayo ndiyo mfalme w*ngu alinionyesha pale nilikuwa sina wakunijali waaandishi na makuhani wote wamenipitia wakaondoka yeye alipo nipitiya na upendo mwingi akanirehemu kwa fadhili
verse/2
aliniponya kwa mafuta ya gharama kubwa akafunika jeraha zote nilikuwanazo
bridge/
nitaimba upendo wa mwokozi ulionitowa
gizani nitajivuniya msalaba wa yesu
Random Song Lyrics :
- deathwish - scriptz lyrics
- way back then - the westlands lyrics
- we are all getting old (2022 remaster) - telex lyrics
- broken watch - charlie yama lyrics
- never stop believing (blues) - ted nugent lyrics
- ctrl+c - year of the knife lyrics
- godhead - veil of maya lyrics
- duomo di milano - jay rain (rapper) lyrics
- womb - dead7 lyrics
- quand le soleil tombe - georgio lyrics