lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

modo man - boondocks gang lyrics

Loading...

(intro)
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipee traitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyega inaburn
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipetrate taitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyenga inaburn

)verse one)
ningekuwa jogoo ningelisha rungu bubu
ungedhani kuna ngori akipiga yake nduru
njugu kuku manga na kinduku
marash ni ya njoti ndani ya box
sa nundu ikusu ina fudhi nayo siwezi kula kavu

chuma ilale ndani aisiskizie kwa mbavu
tthombodha thombodha ajimwagie madafu
njoti yangu ni shash apana nyaru
jubui nazama jubui cheki ish-ganda
jubui aliringa na namba jubui cheki ashamangwa

(chorus)
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipee traitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyega inaburn
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipetrate taitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyenga inaburn

(verse two )
pigwa kombi na sponyo wa oyole
shika choki zikishika unitolee
nakamuti mpaka ipigwe vidolee
na manjoti mingi ni k-mwaga koree
ana haga bigi sura ni akothee
pigwa kishuti niko daru nachachisha na atotii
mode w-ngu anakuja daro na ako h-rny
tapika kwa sink hadi buda umwage njoti
babligan mchezo ya watoto na ni ngori
maparty cup zote zimejazwa na mang’ori
mabiggy g zote zimekulwa na madoggy
kijiji yote ishambuliwe na kimbogi

(chorus)
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipee traitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyega inaburn
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipetrate taitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyenga inaburn

(verse three)
h-rny nifike koinange sokoni
dhudha ni biggy buda kichwa sioni
chapa hiyo kitu hadi atoe maoni
kwa mabeshte zake venye ulimdishia jikoni
kabla sapa ifike kabla vela ishike
si unajua mi ni dume napenda vitu za kike na unazo
kwanza vile nipple inapeep mlegezo
nikubomoe nikujenge ka mjengo
na venye nimesteady mjulus nina lengo
na vitz iko hapa nilikuja na kingo
siezi chapa dry kuna maji ya migingo
nimejaza ngeus album status ni single

(chorus)
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipee traitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyega inaburn
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipetrate taitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyenga inaburn

(verse four)
modo man nimekam na kiplan
edo man saka base tukaburn
my gang tajikata ndio wa w-ng’
siwagotee ju manjoti utapakwa
kanaka ni kora kona kona kora
nako kora kona kanaka ni kora kora
kanaka ni kora kona kona kora
nako kora kona kanaka ni kora kora
usidi kashika ball ya mkorino how
kitu inagonga na siskii uchungu how
seti kawada bakia iniuru now
hii ngoma itashika hadi ichezwe inooro now

(chorus)
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipee traitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyega inaburn
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipetrate taitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyenga inaburn

modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipee traitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyega inaburn
modo man naki zimeshika man
ngwelo shash akiitisha zima man
nikipetrate taitisha peter pan
cat ka ni bar kuna pyenga inaburn

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...