uaminifu - bonge la nyau lyrics
[intro: bob junior]
tu*tu, ruru…
bonge la nyau
(?)
hii ni chocolate flavour
sharobaro
yoo!
mm
alikiba
(thank you, mr. chocolate)
[chorus: alikiba]
ulinijaza ‘nami nikajaa
nikaamini we ndio w*ngu wa maisha
ulinilaza njaa ‘ili wewe usije kosa
hayo yote we ulijisahaulisha
uliniabisha
mbele ya marafiki zangu mimi
ukawa nao hao, hao
umenidhalilisha
uaminifu w*ngu mia percent ‘kwako zero percent
[post*chorus: alikiba]
unanifanya mimi (yeah)
mimi (yeah)
mimi (yeah)
mimi
ukanifanya mimi (kwako zero percent)
mimi (yeah)
mimi (yeah)
mimi
kwako zero percent
[verse 1: bonge la nyau & alikiba]
uzuri wako umenifanya nisilale
na penzi lako nikaliacha litawale (mimi)
ah, kwa kusema ‘uko na mimi, k*mbe uko na wale
nafungisha mechi halafu unasema sare
ah, we mwanamke una roho ya ajabu
nilikuthamini moyo wako hauna adabu
we ni sista*doo ‘ni bonge la fisadi
ushanitembeza kwa miguu ‘kwa kuwahi miadi
kwa kweli nimeji (?) ‘kwa ajili yako
umeniweka loudspeaker mbele ya shoga zako
(mimi)
ah, ulipenda visasi na visa
kosa sio kosa, ‘unajinunisha
[hook: bonge la nyau & alikiba]
ah, k*mbe
we ni jamvi la matozi (tozi)
ah, k*mbe
ulikuwa unanising’ozi (ng’ozi)
ah, k*mbe
we ni jamvi la matozi (tozi)
ah, k*mbe
ulikuwa unanising’ozi
[chorus: alikiba]
ulinijaza ‘nami nikajaa
nikaamini we ndio w*ngu wa maisha
ulinilaza njaa ‘ili wewe usije kosa
hayo yote we ulijisahaulisha
uliniabisha
mbele ya marafiki zangu mimi
ukawa nao hao, hao
umenidhalilisha
uaminifu w*ngu mia percent ‘kwako zero percent
[post*chorus: alikiba]
unanifanya mimi (yeah)
mimi (yeah)
mimi (yeah)
mimi
ukanifanya mimi (kwako zero percent)
mimi (yeah)
mimi (yeah)
mimi
kwako zero percent
[verse 2: bonge la nyau]
uliupeleka mbio moyo ‘kama semi*trailer
ukanigeuza mi poyoyo ‘ukanifunga jela (mimi)
penzi lako la kichoyo ‘sina mpya sera
haya mapenzi ni ushenzi ‘au sina hela?
pesa’
nilikutia kwenye nafsi ya tamaa
kisha’
ukatoa penzi, moyo umeuachia balaa
we ni busy ‘kwenye simu
chachu ‘kama ndimu
umenichenjia kukuona kwa msimu
uh
haueleweki kama mvua za dar
ulitupanga kwa mafungu kama vile dagaa
ulinidatisha mnyamwezi kwa uzuri wako
ukanifikisha kimapenzi kwa mahaba yako
(mimi)
[hook: bonge la nyau & alikiba]
ah, k*mbe
we ni jamvi la matozi (tozi)
ah, k*mbe
ulikuwa unanising’ozi (ng’ozi)
ah, k*mbe
we ni jamvi la matozi (tozi)
ah, k*mbe
ulikuwa unanising’ozi
[chorus: alikiba]
ulinijaza ‘nami nikajaa
nikaamini we ndio w*ngu wa maisha
ulinilaza njaa ‘ili wewe usije kosa
hayo yote we ulijisahaulisha
uliniabisha
mbele ya marafiki zangu mimi
ukawa nao hao, hao
umenidhalilisha
uaminifu w*ngu mia percent ‘kwako zero percent
[post*chorus: alikiba]
unanifanya mimi (yeah)
mimi (yeah)
mimi (yeah)
mimi
ukanifanya mimi (kwako zero percent)
mimi (yeah)
mimi (yeah)
mimi
kwako zero percent
[hook: alikiba]
‘ili wewe usije kosa
hayo yote we ulijisahaulisha
uliniabisha
mbele ya marafiki zangu mimi
ukawa nao hao, hao
umenidhalilisha
uaminifu w*ngu mia percent ‘kwako zero percent
[outro: bob junior]
ha*ha, ha*ha
big (?)
huu ni mmiminiko wa chocolate flavour
ndani ya matenki ya gold
ha*ha, haha
(?) mombasani
yaani wewe, umenishinda tabia
Random Song Lyrics :
- фляга (flask) - матушка (matywka) lyrics
- feria - efeblunts lyrics
- sound the alarms for one last time - alonelyness lyrics
- timeless - the boyz lyrics
- missouri moon - alex dupree lyrics
- apartheid - venus da kid lyrics
- uzaktan seviyorum seni - mari [aze] lyrics
- neon lights - finity lyrics
- break my heart again (bmha) - shopé lyrics
- alert!(rcb) - anastazja maciąg lyrics