lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

aza - bonge la nyau lyrics

Loading...

[intro]
he*he
yeah
nyauloso
[amiga tai la jiji]
yeah
oh, oh…
[amiga tai la jiji]
oh, oh…

[pre*chorus: q*chief]
aza, aza
mtoto wa kariakoo
aza, aza, aha
nakupa shikamoo

[chorus: q*chief & bonge la nyau]
aza, aza
uh, mtoto wa kariakoo
mtoto wa kariakoo
aza, aza, aha
nakupa shikamoo

[post*chorus: q*chief & bonge la nyau]
kwenu wananiita [golo]
ukweli mi sio kolo
mapenzi ndivyo yalivyo
uh
yeah, uh
[verse 1: bonge la nyau]
ayo, flow n*z**fix so bad
nnavyo feel bad ‘just like na play card
more motivation, more money, more play
visa na vituko unavyofanya siongei
ngwair ‘kama ngwair kakuita “she got a gwan” (gwan)
pozi ‘mpaka pozi za blue, ukiwa chumbani (mbani)
ulivyo deka, dah!
ndio unanipa burudan (dan)
umenipa thamani ‘kwa wengine sitamani (man)
mama umezaliwa minnesota
wanao gharamia ‘unaokota
ukirudi kw*ngu ‘ka naota
unavyo nitunuku ‘naogopa (yes)
uh, mtaka nyingi hukosa [rasaba]
usipende madingi ‘utakuja kuvaba
tulia na mimi, tuishi pamoja
tukikosa leo, kesho inakuja

[pre*chorus: q*chief]
aza, aza
mtoto wa kariakoo
aza, aza, aha
nakupa shikamoo

[chorus: q*chief & bonge la nyau]
aza, aza
uh, mtoto wa kariakoo
mtoto wa kariakoo
aza, aza, aha
nakupa shikamoo
[post*chorus: q*chief & bonge la nyau]
kwenu wananiita [golo]
ukweli mi sio kolo
mapenzi ndivyo yalivyo
uh, meck
meh*meh*, meck

[verse 2: bonge la nyau]
ile love nnayo itaka
kwako naipata
siwezi kusaka vingine kwenye vichaka
unavyo kata ‘mpaka nadata
kama love ni uchafu ‘k/koo zitupwe taka
mungu akupe imani ‘uzidi kunithamini
akulinde na shetani ‘ufate miongozo ya dini
atuweke vyema duniani, mpaka tukienda chini
kila siku furahani ‘shida, raha na mimi

[hook: bonge la nyau]
mama umezaliwa minnesota
wanao gharamia ‘unaokota
ukirudi kw*ngu ‘ka naota
unavyo nitunuku ‘naogopa (yes)
uh, mtaka nyingi hukosa [rasaba]
usipende madingi ‘utakuja kuvaba
tulia na mimi, tuishi pamoja
tukikosa leo, kesho inakuja
[pre*chorus: q*chief]
aza, aza
mtoto wa kariakoo
aza, aza, aha
nakupa shikamoo

[drop interlude]

[chorus: q*chief & bonge la nyau]
aza, aza
uh, mtoto wa kariakoo
mtoto wa kariakoo
aza, aza, aha
nakupa shikamoo

[post*chorus: q*chief]
[drop interlude]
kwenu wananiita [golo]
ukweli mi sio kolo
mapenzi ndivyo yalivyo

[outro: bonge la nyau]
ch*chiddy
al (?)
jacky umeme
uh*huh, amiga tyga
wi deh,deh
classic
terrano music

(instrumentals)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...