lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

dime - blxnk(ke) lyrics

Loading...

[chorus]
umekuwa wapi all this time? shawty look live heaven so i’mma treat her like my dime
you don’t wanna know baby girl how you been running thru my mind
let them savour slowly sioni haja ya kuhide

[verse]
kukuwa na we kila day ni festive
ushanifeed the most the hoes wakikam close niko fastin
take it slow with you najua hizi vitu hazidai nikuwe mhasty
usiwaskize zao ni story walinijua enzi za nvsty
idle minds si tuko kazi na kama saa hatusimami
vibe ni true, i know you do wanna roll with me
sifaii kukaa away lakini juu ya dreams inanibidi
usiwai tense my love iwe mvua au jua we jua i ain’t leavin
can’t get enough of you, it’s you i choose milele ni si wawili
kujifanya heartless kw*ngu ni cliche
na hii baridi mе nataka tu kisses
fix yo crown unajua we ni princess
ex man ilibidi anipishе, ushanimada mbona me nisitasite
wapoa ka we amini ni wachache
we ni rare thing kufit in ni nonsense

[chorus]
umekuwa wapi all this time? shawty look live heaven so i’mma treat her like my dime
you don’t wanna know baby girl how you been running thru my mind
let them savour slowly sioni haja ya kuhide

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...