lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

shikisha - blu lace 16 lyrics

Loading...

uh
si tuko haire
if you dunnuo, now you know

hapa hakuna kuwaste time, na masaa yeah
if you dunnuo, nakushow
eh
si tuko haire
if you dunnuo, now you know
hapa hakuna kuwaste time, na masaa yeah
if you dunnuo, nakushow
ah*ah
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike

mi niko choosy na michezo mi hucheza
mahali mbogi iko si unajua mi naenda
napenda kutreki mi hupiganga kalesa
blu we ni beast mi ni lazima natesa
nilichora plan miezi tisa ndani ya mum
mi napenda mungu hakuna kitu naeza luck
manzi flani alinichocha ati ye ni fan
k*mbe ndio maana kanapenda kunihug
i like em short and sweet, big booty thick
i wanna get to know you shawty, you know i go deep
you′re looking for followers so you wanna start a beef
a lot of money in the bag, i don’t know what to keep
i focus on the music n*gga, that is on my life
working every week so i can maybe cross the line
my music and my business is the finest you can find
cheza chini buda usijipate kwenye hype (yeah)

si tuko haire
if you dunnuo, now you know
hapa hakuna kuwaste time, na masaa yeah
if you dunnuo, nakushow
eh
si tuko haire
if you dunnuo, now you know
hapa hakuna kuwaste time, na masaa yeah
if you dunnuo, nakushow (oh yeah)
ah*ah (yeah)

picha katikati vile nimevaa
mi napenda mali safi kitu inajakaa
stock imejaa buda niko na bidhaa
hii life bana niko kadi, vile inafaa
i′m in love with the coco (whooo)
it’s got me going loco (godd*mn)
ukiachwa achika rudi soko
batoto bakongo
chungana na mapoko, ey
wacha niwaserve vitu moto
shikisha zikishe na malocal
skiza hii ngoma hadi iboo
kama hard pays nionyeshe punda sonko
wacha niwaserve vitu moto
shikisha zikishe na malocal
skiza hii ngoma hadi iboo
kama hard pays nionyeshe punda sonko, wewe

si tuko haire
if you dunnuo, now you know
hapa hakuna kuwaste time, na masaa yeah
if you dunnuo, nakushow
eh
si tuko haire
if you dunnuo, now you know
hapa hakuna kuwaste time, na masaa yeah
if you dunnuo, nakushow
ah*ah
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike
shikisha shikisha, shikisha zishike

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...