lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wema wako - blessed paul lyrics

Loading...

chorus
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha

verse 1: blessed paul
bwana yesu w-ngu nakupenda toka jadi
wema wako bwana umenifanya niwe hai
bwana yesu w-ngu nakupenda toka jadi
wema wako bwana umenifanya niwe hai
umenipa sauti naimba
umenipa uhuru nanena
neno lako chakula cha roho
wema wako ni tele tele tele ai

chorus
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha

verse 2: paul b
ulikufa msalabani nafsi yangu kapona
hata leo ninakiri kwamba wewe ni bwana
(ulipigwa pigwa, ukateswa teswa wema wako ajabu-2)
umenipa sauti naimba
umenipa uhuru nanena
neno lako chakula cha roho
wema wako ni tele tele tele ai

chorus
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha

verse 3: don santo
unaponya, yesu w-ngu we wapendeza aha
waongoza njia zangu zote nakupenda aha
minapenda kuimba, minapenda kusifu
minapenda kucheza, nakupendaa..
aram tapa tapa minapenda vitu mingi hata kutaja nashindwa
bila ule wema wako ningekuwa kitu bure yesu nakupenda ah ah

chorus
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha
baba, wema wako ni tosha

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...