ujuzi freestyle - blak foreign lyrics
{verse}
mawaidha nawapa ka veteran
napeleka misa kwa vatican
kijana alikuwaga kafiri man
sikuhizi ni beshte ya preacher man
jegi imefura, ni silicon
anadhani ako ligi ya vera man!
napenda kwamboka ni natural
na pongi isikuage ni waterfall
mtaa napitisha kwa relay
nanukisha sinyambi ni decay
usitaje io mbogi ya tk
si wakali, walahi ni pk
sipendi io mix, izime
heri niskize toilet
kila siku nachambua compe
madoba ni diss na ndole
unasema eti money ni root ya evil, mbona unasearch hiyo ganji
father figure tu ni cliche, figure kw*ngu ni ya b*tch na ganji
napanga mistari, we ni uzazi, huoni unamea kitambi
kata io tenje sinaga time ya call ka sipati amani
nimehang design ya kibenje
nikalearn manyoka na mende
naficha white ka sembe
ka we si day one toka hii rende
aref anakuaga mdenge
siruhusu achochwe atekwe
ikibidi ajikinge ukede
koo isikuje kuchoshwa na tembe
“buda unatiliaga nini kwa dishi” inabidi nifiche hii risipi
trap imefanya nifike ibada kushukuru mola na deputy
mi solo ni geri inengi, manguna watavulia mangotha hii melody
sikatangi maji lakini napeleka misa safari ya misiri
najua kuna rapper low*key atabonga “io doba si tight, virginity”
maisha ni movie na scene ni ya kwanza, kesho utadaisha remedy
journey inakuanga na funzo, kutingua milango nachongesha yangu key
nimenurture a few so nikigenya najua kuna mini me
{outro}
blak, yah
Random Song Lyrics :
- take me back home - brad lyrics
- подгоняй - десакси (desaxi) lyrics
- fusiles de asalto - costa lyrics
- сестра (sister) - yana ronin lyrics
- nothing's impossible - city wolf lyrics
- bite my tongue - caustic the mc lyrics
- hikikomori kai, shadowraze - skyline ryodan (gay remix) - twthusandnne lyrics
- подыхаю (i die) - imoff (imoff) lyrics
- sell my soul to satan - gibbby lyrics
- overdramatic - freak zone! lyrics