nifuate - bismark musiq lyrics
intro
…………………
verse 1
dunia mambo leo, jana leo, tuko busy tunatafuta vyeo
ona sasa matokeo yanatamausha
boma zinavunjika, watoto wanahangaika
wengi wanasononeka, nani atashughulika?
hatuna time, time ya k*mtafuta baba
mbona tunamarktime, time, ni lini tutarada?
kama wanipenda, asema mungu
weka weka yote chini mama, baba, kisha nifuate
chorus
nifuate mimi
(nifuate) mama nifuate, (nifuate) baba nifuate mimi
(nifuate) nina mpango mwema kwako bora we unifuate
(nifuate) nifuate mimi, (nifuate) nifuatee aaaah oyeyeeah
verse 2
miake rudi nenda, bado tunatafuta, tunataka more hata tukipata
tukifika kwa mungu, tunaomba atuelewe
tumesahau alitenda, tungali wenyе dhambi yeye alitupenda
ona wa dunia watuita maprеtender, itabidi tugutuke
hatuna time, time ya k*mtafuta baba
mbona tunamarktime, time, ni lini tutarada?
kama wanipenda, asema mungu
weka weka yote chini kaka, dada, kisha nifuate
chorus
(nifuate) mrembo nifuate (nifuate) kaka nifuate mimi
(nifuate) nina mpango mwema kwako bora we unifuate
(nifuate) nifuate mimi (nifuate) nifuatee mmh oyeeah
bridge
mtafute bwana maadam anapatikana
leta mzigo wako nawe utapumzishwa
tafuteni nyinyi, ufalme w*ngu kwanza
na hayo mengine mtazidishiwaaa
chorus /outro
(nifuate) brother nifuate (nifuate) mrembo nifuate mimi
(nifuate) hakuna anayeweza jaza pengo ila mimi nifuatee
(nifuate) nifuate mimi (nifuate) nifuateeee
(nifuate) aaaah, wacha waganga mama nifuate
(nifuate) nifuate mimi mimi (nifuate) baba nifuate
(nifuate) nina mpango mwema kwako bora we unifuate
(nifuate) nifuate mimi (nifuate) nifuateeee (nifuate) aaaah
ooh mama nifuate mimi (nifuate) kaka nifuate mimi (nifuate) mrembo nifuate (nifuate) yeiyeeeah
………………………..
Random Song Lyrics :
- geen probleem - ickky lyrics
- хозяин (landlord) - аквариум (aquarium) lyrics
- życie jest piękne - filipek lyrics
- perjalanan - haqiem rusli lyrics
- breaking up - jackson hunt lyrics
- the only shepherd - tripod lyrics
- clout (refixed) - dj mik lyrics
- ở đâu cũng có em - trần thái hòa lyrics
- missing - zone 2 lyrics
- rats - daniel kahn & the painted bird lyrics