lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mbwe mbwe - bien-aimé baraza lyrics

Loading...

kunywa maji eh
ukimaliza kunywa pombe
peleka maisha pole pole
raha jipe mwenyewe zitoke

kunywa maji eh
ukimaliza kunywa pombe
peleka maisha pole pole
raha jipe mwenyewe zitoke

songa ugali eh
foundation weka ya samaki
ni katikati ya january
kula ukashirishe kamati

tw*nga ugali eh
foundation weka ya samaki
ni katikati ya january
haribu jina jenga mwili

ayoyo

aroro
fungua b*tton ya shati imekukaba ko
fungua pia mshipi achilia tumbo
usiogope kukula jasho yako
mamama
aroro
nikona size yako yangu 4 by 4
kadogo mali safi better than before
pesa sabuni na inaniosha roho
oh oh oh

hapa ni mbwe mbwe
hapana leta shida hapa ni mbwe mbwe
hapana leta vita hapa ni mbwe mbwe
na ukileta ngori ngumi mbwegzе
hapa ni mbwe mbwe

hapa ni mbwe
waitеr mbili mbili hapa ni mbwe mbwe
wawili wawili hapa ni mbwe mbwe
aroro na bienaime ni mbwe mbwe
hapa ni mbwe mbwe

piga kazi eh
kulima sichagui jembe
mzigo w*ngu wacha ni bebe
jipange ama tukupange

wacha kitu eh
wacha kitu shetani ahepe
si alijileta mwenyewe
hapa ni shangwe tu na mbwe mbwe
hapa ni mbwe mbwe
aroro
fungua b*tton ya shati imekukaba ko
fungua pia mshipi achilia tumbo
usiogope kukula jasho yako (kula jasho yako)
mamama

aroro (roro)
nikona size yako yangu 4 by 4
kadogo mali safi better than before
pesa sabuni na inaniosha roho
oh oh oh

aroro
fungua b*tton ya shati imekukaba ko (fungua b*tton ya shati)
fungua pia mshipi achilia tumbo (fungua mshipi)
usiogope kukula jasho yako
mamama

aroro (roro)
nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4)
kadogo mali safi better than before (than before)
pesa sabuni na inaniosha roho (osha roho)
oh oh oh

hapa ni mbwe mbwe*6
huku kwetu
huku masikini na wadosi
kuna ma*barbi na ma*odi
hatupangui rangi ya ngozi

lokesheni yetu
badilisha lokesheni
pesa ni mingi pombe haitoshi
nakuemeanza kunuka moshi

aroro
fungua b*tton ya shati imekukaba ko (shati)
fungua pia mshipi achilia tumbo (tumboi)
usiogope kukula jasho yako
mamama

aroro (roro)
nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4)
kadogo mali safi better than before
pesa sabuni na inaniosha roho
oh oh oh

mbwe mbwe
mbwe mbwe
mbwe mbwe
mbwe mbwe
mbwe mbwe

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...