lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mpenzi yamepungua - bi shakila lyrics

Loading...

verse 1
mapenzi yamepungua mimi nimeshayaona
kila nikiyachungua hakwishi kuoneana
kheri nipate pumua kwako sina haja tenaa

chorus
mapenzi yamepungua mimi nimeshayaona
kila nikiyachungua hakwishi kuoneana
hakwishi kuoneana, mapenzi yamepungua

verse 2
ulipokuwa na pendo na ikwa twapendana
hukuwa navyo vishindo wala hatukupigana
umebadilika mwendo ni kheri tukaachana

chorus
mapenzi yamepungua mimi nimeshayaona
kila nikiyachungua hakwishi kuoneana
hakwishi kuoneana, mapenzi yamepungua

verse 3
duniani wengi wapo wapenzi kila namna
usidhani peke yako, uzuri unapitana
sina haja pendo lako dunia hii ni pana

chorus
mapenzi yamepungua mimi nimeshayaona
kila nikiyachungua hakwishi kuoneana
hakwishi kuoneana, mapеnzi yamepungua
verse 4
duniani wеngi wapo wapenzi kila namna
usidhani peke yako, uzuri unapitana
sina haja pendo lako dunia hii ni pana

chorus
mapenzi yamepungua mimi nimeshayaona
kila nikiyachungua hakwishi kuoneana
hakwishi kuoneana, mapenzi yamepungua

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...