staki - berton lyrics
[intro]
mmmh
yeah, mmhh
yeah
(madtune)
[chorus]
staki, staki
staki, staki
staki, me staki
staki, staki
[hook]
sitaki kukata tamaa
sitaki kurudi home nikute wamelala njaa
sitaki kuwa sina kitu kisa nlikesha bar
sitaki k*mpenda demu kisa tu alivovaa
[verse 1]
sitaki kuwa chini wakati me ni shujaa
sababu najiamini, alafu nina furaha
sababu nipo makini, socks mechi za mtaa
nang’aa kama madini nasakwa kila saa
sitaki kukaa kinyonge kushine muhimu
i wanna live forever cause nina vitu adimu
ashankataa sana but now anapiga simu
mie mwananchi forever sibadili timu
sitaki kukuahidi ahadi nisiotimiza
jasho lazima litoke hakuna kitu cha miujiza
maisha fake ya video sitaki kuiigiza
kiroho safi nasamehe kabisa siwezi lipiza!
[chorus]
staki, staki
staki, staki
staki, me staki
staki, staki
[hook]
staki kukata tamaa
staki kurudi nikuite home wamelala njaa
sitaki kuwa sina kitu kisa nlikesha bar
sitaki k*mpenda demu kisa tu alivovaa
[verse 2]
sitaki kukushusha ili mimi nitoboe
dunia imejaa shida eeh mungu tuokoe
kwenye mambo ya ajabu sina muda mnitoe
just wanna get money nirudi home tu nipoe
wan*z*ba tunatoboa hatujali maneno
labda yangeniumiza hayang’ati hayana meno
labda yangeniumiza yangenikata ka’ msumeno
pesa nyingi bila love kw*ngu h*ll no
tunashinda sana but we still lay low
majina yanasomeka kwenye payroll
mungu anatulinda anatu bless cause we pray, lord
we gain more
we get more!
[chorus]
staki, staki
staki, staki
staki, me staki
staki, staki
[hook]
sitaki, sitaki kukata tamaa
sitaki kurudi nikuite home wamelala njaa
sitaki kuwa sina kitu kisa nlikesha bar
sitaki k*mpenda demu kisa alivovaa
Random Song Lyrics :
- make it mine - xi88 lyrics
- watisit/unpopular - yosamittee lyrics
- kiez - sant & ghostboo lyrics
- come back - al99 lyrics
- heartburn (lijay version) - lijay lyrics
- kansas song - university of kansas lyrics
- vermillion - ty hosein lyrics
- demonicide - trapped in purgatory lyrics
- growing pains - yahara leone lyrics
- 点p (point p) - pinponpanpon lyrics