on my way - berton lyrics
[verse 1]
drop it low mama kata kiuno ukijiamini
upo na comando usiwe na wasi ukiwa na mimi
that’s how we go basi down mpaka chini
that’s how we go basi down mpaka chini
njoo na jeans au tight, ukiweza kimini
ili mambo yasiwe mengi ndani weka bikini
leo wewe na mimi tu nakupiga pini
let’s get high mpaka mida ya majini
shangwe na furaha, nipo na pisi makini
najua nakuamini, napenda unaniamini
miguu vikuku, kitovu vipini
pisi sauti ya zuchu nsinase kwanini
asa we zungusha, angusha usiogope
leo uko na mimi, leo tuko wote
sema unataka nini, usiogope chochote
au twende wapi, popote tutoke
wanaokuwinda wanajitafutia balaa
usijali diss za madem niliowakataa
pingu za maisha ndio zinafata
kwako sijiwezi mbona nilishadata
[chorus]
achana nao wana wivu
usihofu baby tutaonana mida
lako penzi lilivyotamu kama weeda
smoking inside my room baby
baby just wait
i’m coming, i’m on my way
promise i won’t be late
i’m coming baby
so baby just wait
i’m coming, i’m on my way
promise i won’t be late
coming baby
[verse 2]
baby kuluthum
let me, break you down katika
baby, break your back
vile unavyokata kama zig kati weka ndumu baby
me napenda vile unavyogagabika uuhn
pesa mif*koni zinantiririka uunh
shanga kwenye kiuno zina bubujika uunh
pull’t trigger, pull’t trigger, pull’t trigger boom
shawty so fine i wanna lock you in my room
nipe za ki china kitandani kung fu
kt big shaka mie roho juu juu
yeah
tena me napenda unavyogagabika uuhn
shanga kwenye kiuno zina bubujika uunh
pesa mif*koni zinantiririka uunh
pull’t trigger, pull’t trigger, pull’t trigger boom
shawty so fine i wanna lock you in my room
nipe za ki china kitandani kung fu
kt big shaka mie yeah
[chorus]
achana nao wana wivu
usihofu baby tutaonana mida
lako penzi lilivyotamu kama weeda
smoking inside my room baby
baby just wait
i’m coming, i’m on my way
promise i won’t be late
i’m coming baby
so baby just wait
i’m coming, i’m on my way
promise i won’t be late
coming baby
Random Song Lyrics :
- fuck em all - jay casino lyrics
- gonorrhée - nedelko lyrics
- mmxvi - enfield chase lyrics
- mi amada - falsa alarma lyrics
- gt - jered sanders lyrics
- cuando las mujeres - ivy queen lyrics
- l'idole - jacques dutronc lyrics
- end of the road - infact(freddy geraghty)mitchell stokes singer lyrics
- the inconvenient (imperative reaction remix) - system syn lyrics
- why i try - ybz vandr lyrics