ahadi - berton lyrics
ahadi lyrics
[intro]
yeah, yeah
mmmh
yeah, yeah
yeah, yeah
yeah
[verse 1]
sema unataka nini, kimya hakisaidii
nimeshaongea sana unajifanya haunisikii
nakuvutia waya, simu haushikii
text nyingi nyingi whatsapp bluetick
ghetto naliona chungu ndani hakulaliki
unataka tuangushe party uje na marafiki
najua umechoka maisha ya dhiki
vumilia mama ndio maisha ya mziki
hasa huku kutoboa, labda uje na kiki
usipojuana na mungu hata mbali haufiki
labda ukapige ndele ili mambo ya tick
nyota yao ing’ae upate mashabiki
miaka inasogea hakuna nachomiliki
leo imebidi kuongea, labda hivi vipiki piki
mambo hayakosawa ndoto haikamiliki
napambana sana mambo hayabadiliki
[chorus]
nishakuahidi sana, ahadi hazitimii
nishakosea sana, i swear mi sirudii
daily nipo njiani nyumbani ata situlii
niombee sana mama naongeza bidii
wakikuambia kitu we jifanye hausikii
najua unatamani sana unione kwa tv
najua unatamani kwenda club vip
najua unatamani we milele uwe na mi
[verse 2]
usiwe na mashaka mama kesho tutatoboa
natamani watoto, watoto watatuokoa
mungu akibariki itunze usije itoa
sikuizi inaanza mimba alafu inafata ndoa
sometimes chozi linanitoka naona nimepotea
marafiki unaowaamini sana wanakunyea
nakazana nipate njia, njia ya kuelekea
nipo peke yangu sioni pa kuegemea
ukiniacha utakua hujafanya vizuri
nikiwa na wewe napata kiburi
nikiwa juani we kw*ngu kivuli
hata siangaiki nimetulia tuli
naomba basi mungu atulinde tuendelee
wachawi, mashosti wasituone wapotee
mi na wewe tu, tubaki milele
cruise kwenye love napiga misele
hey
i’m kinda glad you didn’t pick up
i kinda just called to hear your voice
so your voice recording was enough
uuh, i should hang up what am i doing
uum, so i feel kinda dumb but
i miss you
[verse 3]
always on the road (on the road)
natafuta mkate
niombee dua nachotaka mama nipate
najua wewe mzuri lazima yawatoke mate
n*z*changa changa paris twende fungate
nitaumia roho, utanifanya nidate
wasikuharakishe sana mambo haste haste
nikizikamata itakua party after party
nikikuangalia, niangalie nikuk*mbate
kama nikikosea, naomba unisamehe
mambo madogo madogo tukae chini tuongee
mwenzako nimekolea, penzi niongezee
w*nga na wachawi wa mjini wapotezee
but anyway, i just called to say
i miss you
Random Song Lyrics :
- something else to me - jules shear lyrics
- late night fucked up - young richie rich lyrics
- really? - kyim jordan lyrics
- word of god - landoman lyrics
- swallow - kevorkian death cycle lyrics
- fire - ol lyrics
- cansei - 2en2 lyrics
- weakness - tim chadwick lyrics
- 90% - nader shah lyrics
- lowkey - g. kane lyrics