story za vanessa ii - benzema(ochungulo family) lyrics
nishamada k*medi
rewind time ibaki ile saa tulikuwa walevi
dundaing ya kwanza changez westy
tulikuwa chuki lkni na mapenzi
kaka braza ,wacha nikuambie kitu
usiwaicheza na dem anapenda anasa
najiuliza,singefanya blunder
ungekuwa w*ngu ama unatembezwa kwa chama
ai ai,mambo haiko sawa
niko dating site natafuta dem wa power
usiniconfuse na ule ghost wa power
nakutumia flowers icome na ndege haina mabawa
anniversary nilikubuyia pyjamas
plan nik*mea ganja kwa shamba
ndio tuongeze ladha ya kukatana nyama nyama
bado ukona talent ya umalaya kwa kitanda
najua unapenda kueka mguu ndani ya mchanga
dettol heat run ndio form ilikuwa inakubamba
gotea matha mwambie me ni father
mtoi atakuwa mras kushinda warasta warasta
anyway bye,nimeroga sana
nasave some for later
ndio ikuwe na maana
ndio niimprove grammar
usiweke lawama juu ya mapenzi gharama!
Random Song Lyrics :
- zile și nopți (remix) - dj project lyrics
- pih & love (zabij albo zgiń) - pih lyrics
- i hate the night - ten foot pole lyrics
- craving you - noah tauscher lyrics
- can't run from pain - eyedress lyrics
- killin ‘em - misty g quartz lyrics
- plein aux as - george taylor lyrics
- can't stand beggin' - madcon & the police lyrics
- bittersweet - heartless forever lyrics
- e tu chi sì? - nicola valente lyrics