sugar rush - bensoul lyrics
Loading...
je unak*mbuka
kule tumetoka
miaka imepita yeah (my love)
ona vile picha (mmmh)
jua likitua
nyota zinatangaza
kuwa nakupenda
na wewe unajua
unajua mama ma
mama my love
we ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
my sugar my sugar rush
wewe ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
mw*nga w*ngu
furaha yangu
raha yangu
je ungependa (mmmh)
tuonane tena
ju mi huku*miss sana (my love)
kila siku nakuwaza (oooh yeah)
jua likitua
mwezi utatangaza
bado nakupenda
wewe unajua
unajua mama ma
mama my love
we ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
my sugar, my sugar rush
wewe ndo raha yangu
we ndo furaha yangu
mw*nga w*ngu
(uyee uyele uyelelele)
furaha yangu, raha yangu
(uyee uyele uyelelele)
Random Song Lyrics :
- anyw4y - bummy boy lyrics
- yo soy la que dice que no - cristina ramos lyrics
- see you ft. keasha & zay smalls - dj lostnfound lyrics
- x - eden seven lyrics
- moonlight - queen of nothing lyrics
- température - live 2006 - diam's lyrics
- done with her 2.0 - khao lyrics
- friday - freak slug lyrics
- la de las mil alarmas - javy ramírez lyrics
- mazak hai kya - emiway bantai lyrics