stereo - bensoul lyrics
i fell in love with a kenyan girl
umbo lake lanifanya zuzu (toto si toto)
and she fell in love (she fell in love)
with my rasta vibe, penzi lake laniweka juu (juu juu)
and i thought my eyes and her melanin
would make such beautiful bouncing baby (katoto fupi round)
so we fell in love on this sandy beach
penzi lake kw*ngu ni muziki
yes ooh, yes ooh, nimepata mpenzi
penzi lake stereo tamu sana
my ooh, my ooh, nimepata mpenzi
penzi lake stereo tamu sana
yes ooh, yes ooh, nimepata mpenzi
penzi lake stereo tamu sana
my ooh, my ooh, nimepata mpenzi
penzi lake stereo tamu sana
wapendanao wakipatana (wakipatana)
tarumbeta zasikika wee (shubira…)
mapenzi yao (mapenzi yao), kama savanna
kukiwaka k*mewaka wee
and now it’s the time for love and romance
and i take this chance to say i love yah
so let’s make a vow
on this sandy beach
penzi lako kw*ngu ni muziki
yes ooh, yes ooh, nimepata mpenzi
penzi lake stereo tamu sana
my ooh, my ooh, nimepata mpenzi
penzi lake stereo tamu sana
yes ooh, yes ooh, nimepata mpenzi
penzi lake stereo tamu sana
my ooh, my ooh, nimepata mpenzi
penzi lake stereo tamu sana
mziki wa pesa mziki bila presha
vunja mgongo, mgongo mgongo mgongo
vunja mgongo, mgongo mgongo mgongo
yes ooh, yes ooh, nimepata mpenzi
penzi lake stereo tamu sana
my ooh, my ooh, mama my ooh nimepata mpenzi
penzi lake stereo tamu sana
Random Song Lyrics :
- que che den polo cu - boyanka kostova lyrics
- birkin - eyedress lyrics
- come through - rui, voluptuöus lyrics
- space - xarissa lyrics
- the greater good - delta lyrics
- танцуй или умри (dance or die) - depressed bastard lyrics
- cider bros unite - matt storer lyrics
- mamurna - seka aleksić lyrics
- escola da fé (ao vivo) - gileadi inácio lyrics
- close your eyes - city sleeps lyrics