tricky! - benaia lyrics
(kagete on the beat)
benaia
brayo
naree
(sauti)
(s-s-s-s-symptom)
kagete ule mmoja!
(verse 1: benaia)
ganja famire
nyi ni mahagare
mi sivuti bangi lakini naeza shout ka ambuside
nilimpea bonoko-de
alingoja mpaka che
kupokea hiyo jirungure
anadai nimkufie
mi sijali ,nkikupata kona mbaya ni hatari
tenje yako imebeat, enda utupe hio batari
ndai yako inashine lakini cheki matayari
mimi tu ninajijenga, jua huko tayari, (what!)
alinikataa sasa hivi anataka nimpeleke kwa java
lakini pole buda boss, nare yangu imetua
ukicheki stats zangu mi naball kama salah(tricky)
naam, mashallah
mi si criminal
mi ni yule msee huleta verse zile critical
zile zinamake blood flow to the pinnacle
yaani unastaajabika kama mi ni miracle
mi huvaa magl-sses ju najua mi ni spectacle
google history ni incognito, undetectable
mi nasaka yule dem mmoja so delectable
yule mwenye hips ka za missus incredible
shida tu ni kwake mi ni invisible
chorus:
tricky, (uh), tricky tricky, (uh)
tricky, (uh), tricky tricky, (uh)
tricky, (uh), tricky tricky, (uh)
tricky, (uh),tricky, tricky, (uh)
(verse 2; brayo)
tricky, tricky
kila time ukinicheki mi nawapa keki
na macookie nikonayo kushinda tricky
na siringi ju shilingi na sumuni nikonazo
nakuona, nakusisya, na ucheze chini
kila mbogi ina noma, na mangoma tunatoa
na stuff nimesunda, so
washa na nare
ama basi usare
ama udungie sare
ama dungia sally
tricky tricky
cheki vile huyo dem amebanana
kila time tukimeet ye hudai banana
i wish kuna time tungefanana
twende club, tucheki wasee wakibanana
juzi ulikuwa unacrawl
cheki sai vile umegrow
hizo candles umeblow
nakupenda usidoubt
ukidance tukiout
na masponyo wakidai ‘kuku’ inn
washow that nimekuwin
cheki msupa namba yako, tricky tricky ching ching
cheki msupa namba yako, tricky tricky ching ching
(verse 3: benaia)
cheki msupa namba yako, tricky tricky ching ching
mi na ice tunajuana nikivaa bling bling
na usiku usinicall kwenye hotline bling
we na hizo viatu zako toka ching chong ching
raindrop, nimenotice ukivaa hiyo crop top
nonstop, tic toc, ukidrop top
na mandela akifanya hizo ad libs
tukimake mavida za mamadlips
angel akitrap kama misfit
tim tim tip top kama biscuit
chorus:
tricky, tricky tricky
trick, tricky tricky
tricky, tricky tricky
tricky, tricky, tricky
outro:
benaia
brayo
(oh man godd-mn)
Random Song Lyrics :
- no sleep - temporex lyrics
- horizons - feint lyrics
- if you want - absofacto lyrics
- o carona (ao vivo) - cesar e alessandro lyrics
- drugs - adam jensen lyrics
- annorlunda nu - duschpalatset lyrics
- birdie - mxmtoon lyrics
- lil bamboo - mxmtoon lyrics
- the ghost of you - 8 graves lyrics
- silly of me - 8 graves lyrics