lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

twaendana - ben pol lyrics

Loading...

aah aah ah

uuh baby nifuraha mi nawe twaendana

uuh baby nifuraha tuishi wote daima
uuh baby ni furaha mi nawe twaendana
uuh baby nifuraha nakushaka nanee eeh
eeh nanee eeeh eeh

aah siku nyingi nimetafuta, nikaimba nikikupata
niliamini siku moja, nitakutana nawe
nami namshukuru mola kwa kunipa binti mmoja
mwaminifu mwenye sifa, si mwingine niwe

nami namshukuru mola kwa kuniletea mke mzuri mwenye sifa
nimezunguka kote hakuna kama we

uuh baby nifuraha mi nawe twaendana
uuh baby nifuraha tuishi wote daima
uuh baby ni furaha mi nawe twaendana
uuh baby nifuraha nakushaka nanee eeh
eeh nanee eeeh eeh

walimwengu kazi yao kuvuruga ya wenzao
watataka kututenganisha usiwajali
we ndo wa maisha

leo namshukuru mola kwa kunipa binti mmoja (mmoja)
mwaminifu tena mwenye sifa simwingine niwe
leo namshukuru mola kwa kuniletea mke mzuri
mwenye sifa nimezunguka kote hakuna kama wewe

uuh baby nifuraha mi nawe twaendana
uuh baby nifuraha tuishi wote daima
uuh baby ni furaha mi nawe twaendana
uuh baby nifuraha nakushaka nanee eeh
eeh nanee eeeh eeh (nane eh)
ee eh nanee eeeh eeh

(a ah aah, a ah aah), aah ah ah
(oh oh ooh) uuh yeh yeh yeh yeh

mmh uuh baby, baby
nakushaka nane eeh

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...