lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bado kidogo - ben pol feat. wyse lyrics

Loading...

walimwengu wakubeza
na wengine wakucheke
mwelekeo umepoteza

hata mbele hauoni tena
nyumbani njaa kali
kazini tafrani
benki una deni
biashara imefeli
kuna watu hawajui mangapi yanayo kukabili
kabla ya kuzama
kuna mambo mengii
yaliyofungwa kwako we
yatafunguliwa
aah kabla ya jua kuzama
utaona mengii
yaliyofungwa kwako
we yatafunguliwa
oooh bado kidogo (bado kidogo)
oooh bado kidogo(bado kidogo)
oooh bado kidogo (bado kidogo)
oooh bado kidogo (bado kidogo)
oooh babo kidogo (bado kidogo)
uuuu usife moyo(bado kidogo)
ukifeli usijione haufai
give thanks and praise to the most high naona unavyofuta machozi wewe
nashida unazopata ili kusonga mbele hatua ziko chache ilikufika
kule pambana usiyumbishwe na zao kelele nakuona una pigania haki
simama
utashinda
kuna watu hawajui
mangapi yanayokukabili
kabla ya jua kuzama
kuna mambo mengi
yaliofungwa
kwako we yatafunguliwa
na kabla ya jua kuzama
utaona mengi
yaliofungwa kwako wee
yatafunguliwa
oooh bado kidogo(bado kidogo)
oooh bado kidogo(bado kidogo)
uuuuh usife moyo (bado kidogo) usione kama vile jua
lakuchoma peke yako
usione kama vile giza
limetanda tuu kwako
oooh bado kidogo(bado kidogo)
ooh bado kidogo (bado kidogo)
uuh usife moyo (bado kidogo)

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...