roroa - ben c. lyrics
(ro ro ro…roa) x4
tafuta kahook kazuri na kamelody
kat-tle kaliko na irony
paka mafuta ndio ugeuze melanin
ndio tips wenzangu wananipa mi
tafuta kascamdal kabla ya kutoa hii
lenga content iwabambe zaidi
ndio kwa playlist ya dj uweze fit
hii ndio siri ya kujenga mega hit
nimechoka! kusikiza wengine nimechoka
na sasa nitafoka, ninachohisi vile kitatoka
nimechoka kusikiza wengine nimechoka
kwa huu wimbo nitafoka
ninachohisi vile kitatoka toka toka!
ama anza kubishana na masuperstar ujenge kiki ama usake warembo wa kuscar
ama useme ushampachika mimba dem super star
ama useme ushamnyang’anya hopekid wake malaika
sema ulisaka jina kali ben cyco akaliiba
flamers wakaniita kwa nyimbo kisha wakan’lipa
sema nyimbo zake david wonder mi ndio n’meandika
sema kati ya mi na guardian angel mi ndio mkali bars
zii! kiki za uongo mimi sitaki
heri kwa usanii huku chini tu mimi nibaki
anikubali mola duniani mi nijishtaki
bora siku ya mwisho mbinguni watanilaki
-chorus-
(ro! ro! ro…roa) x4
saka manager bongo lenga bronzeh
jilishe macontroversy unone
hawa wasanii watusi wote
tafuta mr seed mshow za conje!
na pia huyu moji sho… sho… short babaa
umrushie matusi sho… sho… shots kadhaa
pia bahati mtoto wa mama
useme aliguage akado…dozz kwa bar!
umaharufu kamwe mi stojipa
nina imani na kile kipaji mola amenipa
hata kama mi sitaja kutoka kamwe sitojuta
maanake msalabani deni langu alishalipa
nitajikazaa niongeze na bidii wito w-ngu kushoot satan ka vile jabidii
kipaji changu nishamkabidhi naishi k-mserve jehovah kwa ukamili
but!
kama mziki hauna ujumbe
kama unafanya ndio uvimbe
kama unafanya ndio uhit content i nunge!
kama unajiitanga mjumbe
kaa basi chini na uchunge
kama unatubebanga si ujinga ka mbunge
kaa mbali nami juu ben c mi ntakuchomea
jitenge nami juu wokovu si game ya kuchezea
ka mziki hujakimu n’tasema stakuchochea
ntakufokea na baadae ntakuombea
si eti nina beef ama nasema mi ndio hollier
nasikizanga chibu, rayvany juu wamebobea
sina wivu najua binadamu ukosea
ni ujue cha kukeep na kipi we ndio utach0r-a
-(chorus
hii fame wewe sakanya au kwa game utaf-kuzwa kama panya
nakwambia wajikanganya ndio uchezwe ni plan si kubambanya
miliki… miliki airwaves
diriki… diriki kuwa brave
wenzako uki-delete dili ni kuwashave
kiatu chao fill it… miliki hiyo wave
you don’t get it
huu mziki kw-ngu ni mzito zaidi ya ata merritt
siimbi tu nifike kwa tv wa-say ‘he made it’
maybe s’taimba tu injili daily so just get it
wokovu ni zaidi ya mziki yes i said it
lazima u-package wimbo vizuri uweze sell it
kachumbari ya kiki ndio waweze smell it
warembo wa yellow kwa video ndio wata nail it get it…get it hehehee
ukweli ni hard kufanya mziki bila hata kusakanya makiki
na pia ni hard kuitwa show kupewa doo na mziki haujahiti
ukweli ni hard kuwa kwa blogs na we si dem mwenye mwili ka wa nikki
uamuzi w-ngu mi ntabaki kwake christ ata ka mziki husikiki
-chorus-
Random Song Lyrics :
- jak najdalej - kpsn lyrics
- bx we invented hip hop - tim dog lyrics
- say no more - tyne-james organ lyrics
- the witch is back - crystal viper lyrics
- tchuplin tchuplin - mc bin laden lyrics
- in love with the mic - the roots lyrics
- sunshine - camp lo lyrics
- kyrie - gabrielle leithaug lyrics
- son tango - şebnem ferah lyrics
- get even (bat to the range) - cherish lyrics