lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

go away - bechuu honex lyrics

Loading...

nilijiamini sana
nikaukabidhi moyo w*ngu kwako
kutendwa sikufikiri
kwasababu nilijiamini sana kwako
kwani moyo w*ngu kwako
zingio limetawala kila chemba zako
nilitamani nijiengue
lakini moyo w*ngu ulidata kwako
ukajaribu nionesha
pendo lisilo na thamani
kama mbeleko ndo hii
sawa nitabeba mwenyewe
nikajaribu kukuita
majina mengi w*ngu mwandani
sasa mimi mwenzio
naona bora nijiengue
kwa visa vyako vya chichi
ndivyo vilifanya mi niumie
usije ukanitusua jichoni
utanifanya mi nikataliwe

kwa visa vyako vya chinichini
ndivyo vilifanya mi niumie
usije ukanitusua jichoni
utanifanya mi nikataliwe
go away
sitaki tena ishi nawe
go away
bora nibaki mwenyewe
go away
go away
sitaki tena ishi nawe
go away
bora nibaki mwenyewe
go away
mda mwingi
niliwaza juu yako we
kipi nikifanye nafisi yako ifrahi
mbele ya mashoga zako we
iyeiyeiye
k*mbe sikujua
kama napuliza k*mbe ndo n*z*ma
na utamu wa penzi lako
ndo ulinifanya mi nikachechema

kwa visa vyako vya chinichini
ndivyo vilifanya mi niumie
usije ukanitusua jichoni
utanifanya mi nikataliwe
kwa visa vyako vya chichi
ndivyo vilifanya mi niumie
usije ukanitusua jichoni
utanifanya mi nikataliwe
go away
sitaki tena ishi nawe
go away
bora nibaki mwenyewe
go away
go away
sitaki tena ishi nawe
go away
bora nibaki mwenyewe
go away

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...