lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

peng me nadai - bardface lyrics

Loading...

[intro]
niko na peng ana face
peng ana taste
peng ana play akikosa ana beg
yani peng ana games
hawezi kuji let aki dai things ako sure ana get
huu ndo peng nina date
ye ako na fame
talk ziki come ye ana close na madreds
yani peng ye ni dem
unaeza mwita cake
mambo na ma love uki talk c ana guess
huu ndo peng mi nadai

[verse 1]
beautiful onyinye ye husemaga ma king
niki mwita baby ye hu rudisha na sweet
tuna talk ni ka children husemaga ni kid
ni ki rap ye na come ana chachi sha na sing

[verse 2]
drake ye ndo nicki ma line zi na flow in
nikimwita goddess ancheza na godwin
pеng c ni mali naeza tingisha mbogi
adai kuni leave mi na
[bridge]
onyinyе adai mi ndo bomber
nikona bidhaa ina fanya mami kukoma
ye si ndo tent adai kuwa boma
childi kimbwegze ana dai kuwachora
bebi me huwa fanyanga kukosa
na vybe in a track ina baki nawatoka
ye hu sema bless hii njeve kiki gonga
nacheza na kicks inabaki kikisonga

[chorus]
niko na peng ana face
peng ana taste
peng ana play akikosa ana beg
yani peng ana games
hawezi kuji let aki dai things ako sure ana get
huu ndo peng nina date
ye ako na fame
talk ziki come ye ana close na madreds
yani peng ye ni dem
unaeza mwita cake
mambo na ma love uki talk c ana guess
huu ndo peng mi nadai

[verse 3]
one of a kind denge ni mine
aki walk una like posture ni nine
pedi wa thighs ma si ako fine
toka vasha hadi nai
[verse4]
na na go ye ana come ana chekingi the man
niki try ku run ana try to be fast
ana pendanga the bard so ana pendanga ku rap
nikipiga verse ye ana close ina match

[outro]
ati keki ni sliced zi
iko fine crib
unasemanga vitamu light mixed
hii ni high cream
mela thighs tip
ame fika ikabaki kuwa night dream

[bridge]
onyinye adai mi ndo bomber
nikona bidhaa ina fanya mami kukoma
ye si ndo tent adai kuwa boma
childi kimbwegze ana dai kuwachora
bebi me huwa fanyangakukosa
na vybe in a track ina baki nawatoka
ye hu sema bless hii njeve kiki gonga
nacheza na kicks inabaki kikisonga

[chorus]
niko na peng ana face
peng ana taste
peng ana play akikosa ana beg
yani peng ana games
hawezi kuji let aki dai things ako sure ana get
huu ndo peng nina date
ye ako na fame
talk ziki come ye ana close na madreds
yani peng ye ni dem
unaeza mwita cake
mambo na ma love uki talk c ana guess
huu ndo peng mi nadai

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...