jichunge - barakah the prince lyrics
[intro instrumentals]
oh, eh oh…
oh, leo
(leo)
[verse 1]
nitokapo si kutamu
dharau na masengenyo
ndio vilitawala
sikuwa na hamu (hamu)
vyote milipokea
na kusema, ye wala’
hakujuwa
[?] wa k*mtusi mamba hajauvuka mto
akajuwa
upole na upendo w*ngu umeshakosa soko
[hook 1]
daily
sikutaka kuamini (kuamini)
yeye
ni wakunitesa mimi (oh, oh)
daily
sikutaka kuamini, (*ni)
yeye
ni wakunitesa mimi
[pre*chorus]
nenda zako
nenda zako
nishatulia, h*llo
sasa yupo
sasa yupo
anaye ulea moyo
nenda zako
nenda zako
nishatulia, h*llo
sasa yupo
sasa yupo
anaye ulea moyo
[chorus]
naomba ujichunge (we jichunge)
usibadilike
ukawa kama yule (kama yule)
baby, naomba ujichunge (ujichunge)
usibadilike
ukawa kama yule
[verse 2]
sasa umejuwa kwanini
siwezi ondoka kwako
[?] nimekula ya nini
tena nakula kiapo
we ndio wa mwisho kupendwa na moyo w*ngu
sihitaji tena kupepesa macho yangu
aibu, hata mbali
mpenzi naomba uchunge
vishawishi vya mbali visiondoke nawe
[hook 2]
daily, uwe furaha ya mimi (ya mimi)
nawe
zaidi ya raha ya mimi (ya mimi)
daily, uwe furaha ya mimi
nawe
zaidi ya raha ya mimi
[refrain]
leo
leo…
oh, leo,(oh, leo)
(leo)
ooh, hey
[chorus]
naomba ujichunge (we jichunge)
usibadilike
ukawa kama yule (kama yule)
baby, naomba ujichunge (ujichunge)
usibadilike
ukawa kama yule
[instrumental outro]
Random Song Lyrics :
- i’ll never give up - pink turns blue lyrics
- malaga - luc1ano lyrics
- i don't care who sees - songs in the key of f; live - devin dawson lyrics
- la última vez - luz futuro lyrics
- sunkissed - pxnguin lyrics
- banii-n sac (cenzurat) - baboi lyrics
- troubles - corbyn lyrics
- psalm 12 - poor bishop hooper lyrics
- undertaker v8 undertaker zummerzlam 1994 - idylll lyrics
- loteria - silnica kielce lyrics