hujahitimu kusoma - baraka mkande lyrics
hujahitimu kusomaa
aah rejeea tena chuonii
ah hujahitimu kusomaa
aah rejeea tena chuonii
badoo ungalii uko nyumaa
upeo wako ni duniii
badoo ungalii uko nyumaa
upeo wako ni duniii
wenzako walikusemaa
kwa kuingia mitambonii
wenzako walikusemaa
kwa kuingia mitambonii
bado sijakuamini
kama bingwa kwenye namba
bado sijakuamini
kama bingwa mwenye namba
rejea tena chuoni
hebu uwache kujigamba
rejea tena chuoni
hebu wacha kujigamba
tiktok :barakachaplin
umeliazisha tifuu wazuawa mitaani
ukikaa kujisifu kujigamba mitaani
wapita ukisifuu
kujigamba gamba mitaani
hupita ukisifuu
kujigamba gamba mitaani
kaanze tena halifu
kaanze tena halifu
kwa kijiti ubaonii
kwa kijiti ubaonii
bado sijakuamini
kama bingwa kwenye namba
bado sijakuamini
kama bingwa mwenye namba
rejea tena chuoni
hebu uwache kujigamba
rejea tena chuoni
hebu wacha kujigamba
kama bingwa wa kweli
ungеfuzu mithani
uulizwapo swali
jibu hutoi kwanini
kama bingwa wa kweli
ungefuzu mithani
uulizwapo swali
jibu utoi kwanini
uulizwapo swalii
……..
jibu utoi kwanini
………
uulizwapo swalii
……..
jibu utoi kwanini
………
rudi tena tafadhali
rudi tеna tafadhali
usifanye ushindani
usifanye ushindani
bado sijakuamini
kama bingwa kwenye namba
bado sijakuamini
kama bingwa mwenye namba
rejea tena chuoni
hebu uwache kujigamba
rejea tena chuoni
hebu wacha kujigamba
tiktok :barakachaplin
wataka sifa kupewa
kama alivyo fulani
ana hak kusifiwa
ni bingwa mwenye kifani
wataka sifa kupewa
kama alivyo fulani
ana hak kusifiwa
ni bingwa mwenye kifani
ana haki kusifiwaa
…….
ni bingwa mwenye kifani
……..
ana haki kusifiwaa
…….
ni bingwa mwenye kifani
……..
ndio maana anagombaniwa
ndio maana anagombaniwa
watu wote hamkani
watu wote hamkani
bado sijakuamini
kama bingwa kwenye namba
bado sijakuamini
kama bingwa mwenye namba
rejea tena chuoni
hebu uwache kujigamba
rejea tena chuoni
hebu wacha kujigamba
Random Song Lyrics :
- meine farbe - fler lyrics
- higher (white rhino) - k-mac lyrics
- quiero olvidar - j alvarez lyrics
- top of me - audio push lyrics
- last girl on my mind - melody club lyrics
- neureicher wichser - fler lyrics
- week 12 reading jorunal - juanita cobb-west lyrics
- chodź za mną - b1gga lyrics
- girl blue - the main ingredient lyrics
- intro : อินโทร - kanont charncliché lyrics