anatengeneza njia - baraka dan lyrics
teloah art’s recods
baraka dan once again,omwana wa j mama, teloah to the world
teloah pon de case
najua bwana anatengeneza njia, anatengeneza njia kwa ajili yangu
najua yahweh anatengeneza njia, anatengeneza njia kwa ajili yangu
najua baba, ana*tengeneza njia, anatengeneza njia kwa ajili yangu
(najua bwanaaaaaa)
najua bwana anatengeneza njia, anatengeneza njia kwa ajili yangu
najua bwana anatengeneza njia, anatengeneza njia kwa ajili yangu
muda unakam anatengeneza njia itakua ni furaha si machungu
me baraka dan atanipa jina kubwa nitapanda ndege niende kwa wazungu
ka ni njaa ataondoa sote tuwe huru
pesa nazo zitakam tuokote kama njugu
giza nalo ataondoa na kuleta nuru
kwa furaha tutashangilia pia na nduru
ka msanii me ninapambana, ninajikaza bado pia kibiashara
najua kesho yangu sio kama jana, ananijali aitwae maulana
anatengeneza njia huyu baba, nitamwabudu nikiwa bado kijana
ndio kesho ak*mbuke hiyop yangu jana, anitulize machozi me kama hannah
oyaahweh
najua bwana, anatengeneza njia, anatengeneza njia, njia kwa*ajili yangu…ooooh
najua bwana eeh, ana*tengeneza njia, anatengeneza, njia kwa ajili yangu, (mimi na weweeee)
najua bwana anatengeneza njia, anatengeneza njia kwa ajili yangu, (mimi na weweeee)
najua bwana anatengeneza njia, anatengeneza njia kwa ajili yangu
(aaaiiih)cheki***high, bless me***father
daily***bow, holy***father
father*father kama abraham nibless niwache kugumble na
najua hii road unamake sababu ni me so siwezi kutense
niko na confidense*we ndio best
nataka wengine waojne wataste, wajue ni real hakuna kucopy paste
sasa mbona me niwory nami niko naye baba
njia ikiwa konde anaunda iwe pana
wakati wowote namtaka nampata
najua anatengeneza njia huyu bwana
(mimi na weweeee)
najua bwana anatengeneza njia, anatengeneza njia kwa ajili yangu, (mimi na weweeee)
najua bwana anatengeneza njia, anatengeneza njia kwa ajili yangu
Random Song Lyrics :
- calor - tuli acosta lyrics
- time passes - lil car 227 lyrics
- k!ckback - rizziatta lyrics
- stay away (salem's angel remix) - charli xcx lyrics
- way too good - koolboi65 lyrics
- drei gitarren und eine mundharmonika - bernd clüver lyrics
- rebel high - fleurie lyrics
- studenterhymne - yung capper lyrics
- peculiar - midknyte lyrics
- big pp, small world freestyle - lil sperm & lil nutty lyrics