gusa - banny lyrics
intro
mmmh yeeah
tell me watchya need ×3
tell me watchya need love
*verse1
umenifungulia dunia
ya mapenzi nisiteseke
upweke umenipunguzia aaah
yametoweka mawenge wenge
oouh kw*ngu we special baiby
sitaki mtumba maronya ronya
misululu ni michosho baiby
njia nyingi makona kona
nguvu zaniishia
msumari na nyundo gonga shindilia ndani
sambusa bagia
we ndo babu dere
ushashika usukani
* bridge
ugali wa dona ntakula eeeh
sitokusumbua aah
ka reli ushavuka kigoma hiyo true love
umenipatia
*chorus
hasa pale ukinigusa gusa (i like that heee heee heee)
mwenzako mm nawehuka( nadata hee heee hee)
hasa pale ukinigusa gusa aah heey baiby (i like that he he hee)
mwenzako nawehuka aah (nadata he heee heee) sijiwеziii yeeei yeeh
gimmi dat gimmi dat slow
baby bwoy gimmi dat
gimmi dat slow i like that ×2
*verse 2
ya nini nilе maganda mti wa matunda nimeupanda mwenyewe
vurugu mechi kandanda chenga kichuya goli shuti kelele
nadekezwa kwako ma love
ukiwa mbali mi wala sihofii
nakupenda sana kababaaa
j*po tulianza kiutani
bridge
ugali wa dona ntakula eeeh
sitokusumbua aah
ka reli ushavuka kigoma hiyo true love
umenipatia
*chorus
hasa pale ukinigusa gusa (i like that heee heee heee)
mwenzako mm nawehuka( nadata hee heee hee)
hasa pale ukinigusa gusa aah (i like that he he hee) heeeey baiby
mwenzako nawehuka aah (nadata he heee heee) sijiweziii yeeei yeeh
gimmi dat gimmi dat slow
bby bwoy gimmi dat
gimmi dat slow i like that ×2
Random Song Lyrics :
- back (remix) - colt ford lyrics
- pyramids - dat throwdest ghost lyrics
- ballata della dama bianca - modena city ramblers lyrics
- smile-in-a-box - nathalie lyrics
- i can sense it - hyjro lyrics
- red light - kynda gray lyrics
- komplexikation - wisdom without worship lyrics
- let go - luqas lyrics
- hurry up - wjsn lyrics
- me iría - claudio baglioni lyrics