wewe ni mungu - bahati lyrics
wewe ni mungu, mungu wa sisi sote
huruma rehema zako zipo tu popote
una majina mengi
wewe ni mungu wa wengi
mungu wa milimani, mungu wa tabarare
mungu wa kanisani, mungu wa msikitini
mungu wa milimani, mungu wa tabarare
mungu wa kanisani, ninaye mwamini mimi
wewe ni mungu, mungu wa sisi sote
huruma rehema zako zipo tu popote
wewe ni mungu, unatupenda sote
wewe ni baba, wewe ni shama kote
ukanipa name, ukanipa love
ukanipa fame, ukanipa wife
ukanipa favour, na hii ni time
your blessings is all i got father
ukanipa name, ukanipa love, ukanipa fame
na beautiful wife
ukanipa haters wanipe psyc
thank you
nimеrudi na wimbo acha nikuimbie baba
ukiona napotea nirudie baba
wеwe ni mungu, mungu wa sisi sote
huruma rehema zako zipo tu popote
wewe ni mungu, unatupenda sote
wewe ni baba, wewe ni shammah kote
eyy eh eh (sote)
eyy eh eh (sote)
wewe ni mungu, mungu wa sisi sote
huruma rehema zako zipo tu popote
wewe ni mungu, unatupenda sote
wewe ni baba, wewe ni shammah kote
wewe ni mungu, mungu wa sisi sote
huruma rehema zako zipo tu popote
wewe ni mungu, unatupenda sote
wewe ni baba, wewe ni shammah kote
Random Song Lyrics :
- bust down - trippie redd lyrics
- jettatore - carmen maria vega lyrics
- found u - dimmi feat. zeeba lyrics
- blues e baião - pabllo moreno lyrics
- no better feelin' - cl lyrics
- juntos - various artists lyrics
- bad trip (interlude) - jhené aiko lyrics
- undercover agents - enter shikari lyrics
- letzte liebe - prinz pi lyrics
- oh! si kacak - maisarah lyrics