lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

fanya mambo - bahati lyrics

Loading...

(intro)
dk kwenye beat na bahati tena
teddy b

(chorus:bahati)
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu

(verse 1:dk kwenye beat)
pakatokea dhoruba kali ,ndio
mawimbi yanatisha hali, ndio
wagonjwa wametoka mbali
aaah fanya mambo

ile damu ya calvary ,ndio
bado fresh inafanya kazi, ndio
inaponya kwa kila hali
aaah fanya mambo

(chorus: bahati)
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu
(verse 2 bahati)
mwokozi w*ngu,i love you mmmmwah
mwokozi w*ngu,i love you mmmmwah
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
mwokozi w*ngu ,i love you mmmmwah
mwokozi w*ngu ,i love you mmmmwah
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe
nimewacha mavela ,nimewacha mabebe

(chorus: bahati)
ju umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu

(verse 3: dk kwenye beat)
toka kitambo kitambo,unafanya mambo
toka kitambo kitambo,unafanya mambo
uligawanya bahari wewe,ulishinda farao wewe
uligawanya bahari wewe,ulishinda farao wewe

(chorus: bahati)
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo aaah, fanya mambo
umefanya mambo, fanya mambo
umefanya mambo ewe yesu

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...