diana - bahati lyrics
niko vitani na moyo baby
zaidi ya yote k*mbuka jana
unasonga, mi nasonga
moyo unakataa. ah!
kinachonitia wasi wasi
ni cha kuwaambia kanisani
na sijafeli
nina imani moyoni
ulivyobeba virago vyako
kanisahau mie
na ukambeba mwanangu
amwite nani dady
diana (diana)
diana (diana, diana)
w*ngu diana (diana, diana)
nisikize diana (diana, diana)
ina maana huoni uchungu napitiaa
naikimbia shida nilikotoka unajuaa
naogopa, naogopa
hunnie naogopa
ninavyo umia bidii kwa kazi
mbona unaondoka
nakupenda sana
nishawaambia mashabiki na baba
akulinde sana
baado nakusubire
ulivyobeba virago vyako
kanisahau mie
na ukambeba mwanangu
amwite nani dady
diana (diana)
diana (diana)
w*ngu diana (diana)
nisikize diana (diana, diana)
ina maana huoni uchungu napitiaa
naikimbia shida nilikotoka unajuaa
diana (diana)
diana (diana)
diana, diana…
diana, diana…
shallzbaro
ulivyobeba virago vyako
kanisahau mie
naukambeba mwanangu
amwite nani dady
Random Song Lyrics :
- up destiny's sleeve - unni wilhelmsen lyrics
- já é - arlindo neto lyrics
- 90% of me is you - gwen mccrae lyrics
- just här just nu - lill lindfors lyrics
- intro - the jibster lyrics
- new gods - from kid lyrics
- arc-en-ciel - tengo john lyrics
- shake it off - sofia karlberg lyrics
- "qmep meqv" - vini santos lyrics
- ein leben lang - fc bayern münchen stimmen des südens lyrics