oweeh - b2k mnyama lyrics
[intro]
oh, oh, oh, oh
starbeat boy
…aaah
spana!
(masterkeys)
[verse 1]
una akili wewe?
umechagua kunipenda mi na sina chochote
eh
una akili wewe?
eh
umechagua we kuwa nami
sikulipi chochote
eh!
acha nikupe maua yako, oh
ukiwa hai
amini uwepo wako
ndio unafanya ni furahi
na hata, ‘ukiwa na mawazo
unaniwaza mimi, ‘sitaki
uwaze kwingine
na hata, ‘nikiwa na vikwazo
unakuwa nami, ‘hutaki
niwaze kwingine
na hivi niko na bigi, bigi (bam, bam)
eh!
unasema unaipenda (tam, tam)
mapenzi kutesa ‘zam kwa zam
zamu yetu babe
hata ukinigusa
(oweeh, oweh, owah)
moyo unacheka
(oweeh, oweh, owah)
ukinishika
(oweeh, oweh, owah)
aah, ukiniita
moyo unacheka
(oweeh, oweh, owah)
moyo unacheka
(oweeh, oweh, owah)
ukinishika
(oweeh, oweh, owah)
moyo unacheka
[verse 2]
kinywa changu umekifumba
siku hizi sililii mapenzi
na siku mkiniona nalia mjue nalilia waliotangulia
kichwa changu kilishayumba
maana kiliwabeba wengi
nilio waweka moyoni
wakatoka wakanipanda kichwani
kwa sasa nna amani (nna amani)
moyo unacheka, ah
nimеmpata msikivu ‘nami nikisema ninaelewеka
nipo neemani (neemani)
na neemeka, ah
nikimgusa, anatetema, ah
kama jenereta
nimerudi ujanani
maana nilizeeka, ah
kwa kukosea chaguo mapenzi ‘yalininyoosha
sitaki tena ah, ah, ‘kuzubaa
nitailinda hii yangu raha bhana
maana wasonipenda ni wengi
wanawaza mwiba mapenzi
iiih..
(oweeh, oweh, owah)
moyo unacheka
(oweeh, oweh, owah)
ukinishika
(oweeh, oweh, owah)
aah, ukiniita
moyo unacheka
(oweeh, oweh, owah)
moyo unacheka
(oweeh, oweh, owah)
ukinishika
(oweeh, oweh, owah)
nimerudi ujanani
(oweeh, oweh, owah)
maana nilizeeka, ah
(oweeh, oweh, owah)
kwa kukosea chaguo mapenzi
(oweeh, oweh, owah)
‘yalininyoosha
(ma*feeling records)
…
(take five now)
Random Song Lyrics :
- ούτε να το σκεφτείς (oute na to skefteis) - peggy zina lyrics
- sig mit navn - lars lilholt lyrics
- sanu ma sanu hajur gai ko bachho bhir chadchha chaddaina! - sinki achar lyrics
- you don’t love me - sickotoy lyrics
- i like fucking with you - partynextdoor lyrics
- hate me, that's perfect - i.n.x lyrics
- 6. realize - dylan that bitch lyrics
- u can be touched - 2pac & outlawz lyrics
- ritmo - pablo carrouché lyrics
- the outlaw (l.a. acoustic remix) - larry norman lyrics