kwendanamida - b.g.m.s lyrics
friday, june 22, 2018
12:45 am
intro: kwenda kwenda
chorus:
kwenda kwenda kwenda kwenda kwenda
(kwenda n mida)
kwenda kwenda kwenda kwenda kwenda
(kwenda na mida)
-siku hizi bongo mpaka raha
tuna kwenda na miiida
kwenda kwenda kwenda kwenda kwenda
kwenda na miiiida- ×2
first verse; herishaa
kwanza ndo na settle sina time like hey go
uwaki waki toto am all about that pay role
washasanda kimzik wanafos mashabiki
wanatafuta izo kiki zaidi ya hati miliki boi
usiache usiache wape with the sound (ya ya)
wanafos kiki kwetu underground (ya ya )
wacha niwape ukwel kivipi mlete kejeli
me and my chali we in for the money zilizonyooka ka reli
yuko wapi yule dogo harmo rapper man
alishafosi na wabongo wakamkacha man
vipi kuhusu kiduku music na chakacha man
washasanda sasa trap habari ya mjini we
hit em up nawachapa kama maka
veli pac legendary kwenye status
put em up ndo na kaa kama better man tough zaid ya better man am never relevant
gat me so foreign so foreign foreign
kwa mwendo usio na folen mpole mpole ryt
second chorus
kwenda kwenda kwenda kwenda kwenda
(kwenda n mida)
kwenda kwenda kwenda kwenda kwenda
(kwenda na mida)
-siku hizi bongo mpaka raha
tuna kwenda na miiida
kwenda kwenda kwenda kwenda kwenda
kwenda na miiiida- ×2
verse 2: styles101
siku hizi raha kwenda na mida
tafta pesa ukaishi guda
baby mama teka jezi mama kuhama uswazi
ntaomba wanipe muda
starliffa ni kihama ndo nakuja
nyie mabuja ndo mnavuja
mlishachuja nyie wakuja
kama mndhambi ombeni toba
siku hizi kiki hazina soko
kwenu local mnazuga
b-tches wanakula ujana kutafta pesa
baada ya muda zikisha choka walete mimba
style nakula ujana nikiwa napetaaaa
nikija kufa ntak-mbukwa kwa mizinga
kitambo ka mizengo nlishapinda
mlishaniwinda kwa waganga mkanishndwa
vitani kama rambo kueni humble
siku izi skendo hazilipi bongo zishachunda
muda wa kukaaa na kushesha
muda wa kukaa na kuteta boy sinaga ghaa
hamnisaidii kwenye kusota kwenye kuchoka
ntaangaika adi kutoka broo
niga wit the biggest dream
rizk naipa subira
muda unagoma kusubiri
nawaza future yangu kuishi better home mama kanibless kua tajir
kua na akili si kua na ubavu na mwili
ujana maji ya moto uzee finally
boy minaish way na fell
tupige story ka ukiwa na deal
coz i gat to pay some bills
staki kua na fame money is all i need all i need deuces
last chorus
kwenda kwenda kwenda kwenda kwenda
(kwenda n mida)
kwenda kwenda kwenda kwenda kwenda
(kwenda na mida)
-siku hizi bongo mpaka raha
tuna kwenda na miiida
kwenda kwenda kwenda kwenda kwenda
kwenda na miiiida- ×2
Random Song Lyrics :
- good vibez only - nabeel haq lyrics
- show me love - nino de brown lyrics
- caxon ka tem cofre - assol garcia lyrics
- here, here - david bennett lyrics
- real - mr floyd larry lyrics
- colossal misanthropy - corroosion lyrics
- 40 days - mind bomb lyrics
- what you waiting for - gwen stefani morrison lyrics
- 3d - overtop br lyrics
- 82 - молодёжьвыбираеткосмос (molodezhvibiraetkosmos) lyrics