lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

bao la kete - at lyrics

Loading...

[intro:]
helua
helua
helua
helua
helua
helua

[verse 1: a.t.]
huu mchezo naupenda bure bure nime fundishwa na babu enzi zile
huu mchezo naupenda bure bure nime fundishwa na babu enzi zile
mimi sichezi karata naogopa kuolewa na niki lamba garasa watu watanizomea
mimi sichezi karata naogopa kuolewa na niki lamba garasa watu watanizomea
nimezoea kula mali ya mtu nakusafiri na takaswa takaswa hadi nachoka nalala shwari
nimezoea kula mali ya mtu nakusafiri na takaswa takaswa hadi nachoka nalala shwari
[hook:]
kocha huyo…
kocha >> ameingia aje?
kocha katika bao la kete >> ana husika aje
kocha huyo…
kocha >> ameingia aje?
kocha katika bao la kete >> ana husika aje
ali’ alilili
helua
helua
helua

[chorus:]
aiye aiye naye kasifiwa na raisi ( helua )
aiye aiye naye kasifiwa na raisi ( helua )
kwa bao la kete ( helua helua )
kwa bao la kete >> ali ali ( helua )
kwa bao la kete ( helua helua )
kwa bao la kete ( ali ali )
wakati wakukatika kukatika kati kati kati ah

[verse 2:]
kwa mitego usiseme hapa ndio pake ntakupiga kitako mwe’ ubaki na kete
kwa mitego usiseme hapa ndio pake ntakupiga kitako mwe’ ubaki na kete
nitakula nyumba zote za mbele hadi za nyuma halafu we nikuache kwa vile mtajivuna
nitakula nyumba zote za mbele hadi za nyuma halafu we nikuache kwa vile mtajivuna
mimi sitaki matani na bao langu ni burudani
unafikiri hadithi na bao langu lina thamani
mimi sitaki matani na bao langu ni burudani
ulitupa kirahisi unalitaka njoo nyumbani
[hook:]
kocha huyo…
kocha >> ameingia aje?
kocha katika bao la kete >> ana husika aje
kocha huyo…
kocha >> ameingia aje?
kocha katika bao la kete >> ana husika aje
ali’ alilili
helua
helua
helua

[chorus:]
aiye aiye naye kasifiwa na raisi ( helua )
aiye aiye naye kasifiwa na raisi ( helua )
kwa bao la kete ( helua helua )
kwa bao la kete >> ali ali ( helua )
kwa bao la kete ( helua helua )
kwa bao la kete ( ali ali )
wakati wakukatika hukatika katu katu katu
kaa!

( conversation 1 )
as*salaam*alaik*m? wa*alaik*m*salaam
ma ismuka? ma ismuka atakuwa anakaa nyuma hapa kuna mama wa kiarabu
lah lah lah lah lah balal maalun
enhee na mumewe atakuwa ndio huyo balal maalun
ha ha ha ha mkongwe! hukijuwi kiarabu ma ismukah waitwa nani, balal maalun wewe ni maluni
ha ha ujifundishe!
[post chorus:]
lete kahawa au lete kashata kuna mtu kapagawa na karibu atadata
lete kahawa au lete kashata kuna mtu kapagawa na karibu atadata
helua
helua
helua
helua
helua
helua

( conversation 2 )
eeh…nataka kukujua wewe
unataka kunikojolea?
nataka kujua wewe
unataka kunikojolea, wewe vipi?
i want to know you
ah haa…unataka kunijuwa wewe, naam!
mimi naitwa mafamba hassan baharani

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...