lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

upo mbali sana - ashu dogo lyrics

Loading...

upo mbali##
intro<>
verse 1
nina macho lakini sioni
nina sikio lakini sisiki
na nikipaa sikuoni
unapokosa kupokea simu yangu
……..hofu juu…….
chorus
upo mbali sana
mbali sana-3
upo mbali sana
mbali sana-36
verse 2
……rap……….
yeah nakuitanga ashu nikuiwa 2 madogo mangova
mafisi zao ni matesting
tangu uishie tao we zi kupokea hata simu yangu
nakupenda baiby never ever i will forget you
kama girldem nabeep radioni na televisheni
nafanyanga tu cormecial ili nilipe tu madeni
yeah baiby rudi home
mash-gs acha..kuni..faily
upo mbali sana
mbali sana-3
verse 3
malamishi ni ya nini
nilipokukosea nisamehe
mja bado anatupenda
ila kiume na fosi
(upo mbal;i sana
mbali sana)3-3

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...