lirikcinta.com
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

naona - annette kawira lyrics

Loading...

interlude:
badaa ya giza, naona, naona

vers 1:
dunia, ya zunguka
ukianguka utaamuka, tulia, vumilia
tambua kilakitu kina mwisho (naona giza) lime kwisha

chorus:
badaa ya giza, mw-ngaza, nauona
badaa ya giza, mw-ngaza, nauona
unatokeza, unapenyeza, unapendeza
unatokeza, unapenyeza, unapendeza

vers 2:
siku njema yajulikana mapema
sita, sita kukuita ukipita
mlanawe hafinawe
bado nikonawe (naona giza) lime kwisha (kwisha, kwisha), nami sita sahau

bridge:
mawingu ya katanda
na mvua ikaanza
na doruba ika zidi
na machozi haya ishi

chorus:
badaa ya giza, mw-ngaza, nauona
badaa ya giza, mw-ngaza, nauona
unatokeza, unapenyeza, unapendeza
unatokeza, unapenyeza, unapendeza

Random Song Lyrics :

Popular

Loading...