tapo - angry panda clan lyrics
aiii yeza, aaiii yeza
aiii yeza
angry panda under mikey
tapo tapo tapo
ka hayuko rada apigwe tapo
ni mtu wako w*ngu wa kando
ukilalisha bana napita nako
akijilegeza unapiga tapo
unakapoteza unapiga tapo
ukishateleza unapiga tapo
ati form tu ni tapo tapo tapo
nateleza kwa beat utadhani konokono
ye ni ka shabiki vile anatupa mikono
anashangilia ni ka ameshinda lotto
ati mi ni wake ala hio ni ndoto
kam nikushow vile jo si hufanya
hadi ukiniroga bado nitakuhanya
ukishaanika nakuja nak*manya
nauma napuliza najifanya kama panya
ye hupiga nduru manze ka scoobydoo
ashachanganyikiwa anadance skelewu
physically fit anabend ka bamboo
mi ndio nyuki napeana utamu
ka ni wako utabaki umeteta
nitacheza na hiyo mwili ka dictator
utabaki umeshtuka gai fafa
pewa kitu tetema kama kifafa
tapo tapo tapo
ka hayuko rada apigwe tapo
ni mtu wako w*ngu wa kando
ukilalisha bana napita nako
akijilegeza unapiga tapo
unakapoteza unapiga tapo
ukishateleza unapiga tapo
ati form tu ni tapo tapo tapo
ati, shikilia mali yako
kaa rada naweza pita naye
ju zikishika naeza shuka naye
na tutaenda home nitamsuka atanipee
pole pole tukiset
tumekuja na ubaya ona vumbi kasee
na watachora saba ju beat sio lame
next time kaa rada ju si ndo kusay
angry panda ndio name
vile si huwapanda utadhani tunadate
kacheze na matope hii game ni ya kizee
upende usipende huwezi kuwa mi
ah songa mbali na mi
ju ukikam sana itakuwa ngori daddy
ting a ling a ling ni za hit track ting
17b kasarani straight outta
tapo tapo tapo
ka hayuko rada apigwe tapo
ni mtu wako w*ngu wa kando
ukilalisha bana napita nako
akijilegeza unapiga tapo
unakapoteza unapiga tapo
ukishateleza unapiga tapo
ati form tu ni tapo tapo tapo
anakata ni ka anataka
ju enyewe kameiva ni kasupa ni ka yeza
yeza mi stambui ka mvuvi namvua vua
ukidai ni kwa kiti ama meza meza
nakapeleka mbanyu tunaanza kuzitoka
ju nimeomoka lazima k*mochoka
kanapiga magoti ni ka kameokoka
daktari mitishamba nakatibu nyoka
na mi siwezi kubali kukataa
ukikam thru’ nikurollie kindom
niku njing’ njeng’ njuu
ukicover the face, me nafire the base
haaa, masaa ni ya waitane
ile time niko jing’ me nafeel kama king
hakuna cha udoctor mi ndio ring ding
kadem kanasukwa anaringa anatepwa
anajipa anatekwa anaseswa anatokwa
anatekwa anaseswa anatokwa
tapo tapo tapo
ka hayuko rada apigwe tapo
ni mtu wako w*ngu wa kando
ukilalisha bana napita nako
akijilegeza unapiga tapo
unakapoteza unapiga tapo
ukishateleza unapiga tapo
ati form tu ni tapo tapo tapo
Random Song Lyrics :
- poète maudit - laurie darmon lyrics
- now that she's gone away - mystery romance lyrics
- a much needed break - soweto tshepiso lyrics
- backseat girl (v1) - jane remover lyrics
- clout chase - narissa lyrics
- 0704 - jj3zr4 lyrics
- aparecida - colo de deus lyrics
- the way she rocks my world - billy crawford lyrics
- разные породы (different breeds) - galafo & zoo in space & proces38 lyrics
- losing hope - bill breezy lyrics