kamatia chini - angry panda clan lyrics
ah check check chuu chuuu
aah aah chuu chuu
aah
angry panda
under mickey
cheki cheki
napenda uki biringika
kiuno hewani cheki zinatingika
songa na mdundo wote warudi chupa
we ni msupa mwili bila mfupa
kamatia chini
kamatia chini
pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini
kamatia chini
kamatia chini
kamata kamata
kwani ujiamini
kamatia chini
kamatia chini
pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini
kamatia chini
kamatia chini
kamata kamata
kwani iko nini?
kamatia chini my lady jiamini
kwani iko nini shukisha hio mini
vile una tingisha unasimamisha abdala
unafanya na chachisha mbaka naleta wahala
nyuma ni mtungi ndio maana sijifungi
vile zimebundi naona nikama movie
zangu zimeshika siezi nikashikika
zime wai wai we kohoa ntaitika
vile umejibeba bana aki ya nani
manze umeniweza bana we ni wa nani
amka penduka, zinatiririka
napenda ukipenduka nikama unaaibika
kiuno kaa mcongo inafanya niwe nugu
ruka kwa mgongo nguvu ni za umundu
baby shika chini tukidance culu culu
tupige ma scene tukichachisha kwa mbulu
kamatia chini
kamatia chini
pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini
kamatia chini
kamatia chini
kamata kamata
kwani ujiamini
kamatia chini
kamatia chini
pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini
kamatia chini
kamatia chini
kamata kamata
kwani iko nini?
ahh
tulia apa goshodo nataka nikupange
sina panga lakini napanga nikukate
una meze shaa watu mate
uki kamatia kamatia yani
mtaka cha mvunguni sharti ainame, na
ukinipatia nipee kaa umeinama
unapiga dеki mummy na mi hapo nimesimama
kindukulu na matisha bila ata kubahatisha
unakamatia mbaka nashindwa ata na kulala
chai ata ikiwa moto aiwezi ikawasha sigara
na naona umejipamba mbaka umеpaka maskara
we ni kakitu we ni ka odidi odada, na
unakaa fiti kwanza na ako kamini
ningeza ningekudishi ukose ata kuamini
kanini vuruta ako kamini
pandisha ukishukisha kaa manyanga ya mjini
kamatia chini
kamatia chini
pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini
kamatia chini
kamatia chini
kamata kamata
kwani ujiamini
kamatia chini
kamatia chini
pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini
kamatia chini
kamatia chini
kamata kamata
kwani iko nini?
kalia dandia nikaa unapanda ngamia
tafuta pia mahali unaweza jishikilia
sister napenda vile umejivalia aah
wololo yayoo mama mia
miukuwa na kamdenge kembamba
kafupi kazuri kamerogama
mkamba goshodo bana kamenibamba
bam bam kazuri sana figure ni tam tam njoo unipe mahanjam
kamata pakata sakata parakata
kama nyuma iko sawa kamata ukipata
pinda mgongo kaa njia za mwongo
bingili bingili kaa batoto baa kongoo
ukijifanya tumbili unapelekwa mitini
kiuno ni konki bana kama mashini
aya basi twende cheza na hio tempo
napenda your umbo inatesa my fimbo
kamatia chini
kamatia chini
pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini
kamatia chini
kamatia chini
kamata kamata
kwani ujiamini
kamatia chini
kamatia chini
pandisha ukishukisha nikaa unavuta mini
kamatia chini
kamatia chini
kamata kamata
kwani iko nini?
Random Song Lyrics :
- tempo - rt mallone lyrics
- cool love - mira ceti lyrics
- tell me baby (have you had enough) - phosphorescent lyrics
- butterflies (radio edit) - sammi sanchez lyrics
- todo el mundo tiene su moncada - silvio rodríguez lyrics
- chasing tail - win and woo lyrics
- hongersnood - glades (nl) lyrics
- the good ol days - @wolfychu lyrics
- killian's red - holly miranda lyrics
- sister isabelle - frank black and the catholics lyrics