mita for a show - amstardaph lyrics
(intro)
yeah
yeah, yeah
welcome to the third world
we gon’ make it from the third world
we gon’ do it
we gon’ do it
(hook)
mama told me don’t you worry
kera emambi tokwanywa erongori
nyasae naigore emarangu ne’ chidirisha
one day you gon’ get paid kama rudisha
mita for a show
mita for a show
mita for a show
hakuna kitu utanisho
mita for a show
mita for a show
watafika bei watafika bei
(verse)
started from the real bottom nyumba ya matope
matym nilisota so ilibidi mi nikope
ushaisota inabidi uokoke
labda ni dhambi zinaduu baraka zitoroke
mungu baba
niko hapa
siku saba
sijakula supper
life ilikua ngumu
ata breko singeafford kubuy ngumu
na wasee nilitokwa githurai
nilifanya deal na msee akaniruka ka maasai
kula macho kwa club kejani unalala njaa
kula blue ticks whatsapp bundles nizakukopaa
sitaki kua broke anymore
sitaki kua famous bila doh
uko kwa tv lakini hupati show
nataka rudi ocha ndani ya lambo,(skrrrr, skrrr)
nibaiye mother mansion, buda prado
nibaiye mother mansion, buda prado
(hook)
mita for a show
mita for a show
mita for a show
hakuna kitu utanisho
mita for a show
mita for a show
watafika bei watafika bei
mama told me don’t you worry
kera emambi tokwanywa erongori
nyasae naigore emarangu ne’ chidirisha
one day you gon’ get paid kama rudisha
Random Song Lyrics :
- now i'm not afraid to say i love you anymore - orange cake mix lyrics
- despechá (versión guaraní) - musikarios lyrics
- durma - rota lyrics
- guestlist - chanel lsd lyrics
- killcore - killmoore & ghostofbu lyrics
- дисс на разработчика obs (diss on the obs developer) - mzlff lyrics
- superheld - pastewka version - und wieder oktober lyrics
- the eulogy - poppidizzy lyrics
- там за быстрою рекою (there behind the fast river) - alyosha lyrics
- where time stands still - triosence lyrics